Duh kwahyo PCM Uliachana nayo o levelMimi form One nilijua ntachukua science subjects tena PCM yan nilikua naelewa na nafaulu vzr , ila kadri nilivokua napanda vidato , ndoto nazo zilianza kuyeyuka taratibu mpk kufikia kusoma Arts subjects A level tena kwa hyari yangu mwenyewe bila shikizo kutoka kwa mtu yeyote hahaaa. Baada ya kuona Physics ni motoo haipandi kabisa
Huwa namyeheshimu sana kwenye hizo masomo zenu za kukariri..Hahahahahaa
SawaHuwa namyeheshimu sana kwenye hizo masomo zenu za kukariri..
Pole mkuu! Mimi mpaka form two nilikuwa mbabe nikafukuzwa seminary nilipelekwa shule ya day afi polini nakaishi gheto no teacher, np materials, nilihamia taratibu nikajikuta nasoma hgl, ila agriculture, bios nilifanya vizuri mno shida nilidrop physics na chemistry form3.Mimi form One nilijua ntachukua science subjects tena PCM yan nilikua naelewa na nafaulu vzr , ila kadri nilivokua napanda vidato , ndoto nazo zilianza kuyeyuka taratibu mpk kufikia kusoma Arts subjects A level tena kwa hyari yangu mwenyewe bila shikizo kutoka kwa mtu yeyote hahaaa. Baada ya kuona Physics ni motoo haipandi kabisa
Mimi form One nilijua ntachukua science subjects tena PCM yan nilikua naelewa na nafaulu vzr , ila kadri nilivokua napanda vidato , ndoto nazo zilianza kuyeyuka taratibu mpk kufikia kusoma Arts subjects A level tena kwa hyari yangu mwenyewe bila shikizo kutoka kwa mtu yeyote hahaaa. Baada ya kuona Physics ni motoo haipandi kabisa
Yaaaani. Mi nahisi darasa lingenitenga maana usistaduu nimeanza mudaa. Ila hata engineering ningeweza tu. Chuo sasa nilikua na kampani yangu hiyo masistaduu wa darasa. Nilikua nikikaa nasema huu muda ninaoenda club ningekua engineer ningekua nachora chora saa hizi. Mwisho wa siku kila kitu kinatokea kwa sababu. Labda ningeenda engineering ningedisco semister ya kwanza [emoji2][emoji2]
Hahaha....nyiwe watu mratuua mbavukwakweli hata mimi nitarudi shule zote lkn sio advance ya PCB!
Biology na Chemistry zinatembea lkn Advanced physics hapana aiseee! Topic kama Magnetism, Adiabatic Expansion! Kwakweli A.physics ni nomaaaa.
Nakumbuka nilotoka jasho kwenye Practical baada ya kukuta pendulum la ajaab, unafunga uzi kwenye rula halafu bob inaning'inia kwa kutengeza umbo la pembe tatu! I wont forget
Hapana,alimaanisha wanaopata div 1 pt 3 ya pcm wametoka katika familia maskini, so wanasoma sana ili elimu iwakomboe Mwifwa
Sasa mimi nimeshiriki umiseta form five na form six. Nilikua naendaga kibaha kambini halagu nilikua nimezoeana zoena na watu wa kule basi nikimaliza kucheza jioni ile nakua na maswali yangu nauliza. Ijumaa narudi shule kupiga pepa na nafaulu fresh tu ila Math ndo nilikua hata nikeshe nasoma siwez kufaulu.
Ina maana hujui bby?
halafu maswali ya physics huwaga yanaanza kama hadithi fulani hivi,yaani ****** mtungaji anakuvuta weeeeee anakuvuta weeeeee unakuujaaaa unakuja aaaaunaingia kwenye line zake then hapo hapo anakutupia jiwe paaaaaahhh la uso...yaani utakuta anaaza...
two stones thrown simutlaneously at a velocity of 20m/s at an angle of 60• to the horizontal,a man with a gun stand at 26m from the point of throwing,if the man has a mass of 80kg,calculate mass of the sun approximate to 6 decimal places..
ku**make hapa lazima ujambe,unaanza kujiuliza asa hapa ni topic gani,mtunzi kachanganga
projectile
calculating device
linear motion
planetary motion/gravity
error and dimension
unabaki tu kukumbuka maisha yako,marafiki zako,ndugu na jamaa,unakumbuka ulivokuwa unafaulu shule yako ya kata...unajikaza kiume mzee,unaandika data collection,unazugazuga pale na viformula basi unapoteza muda....unakusanya zako karatasi basi,unawaza hivi nimemkosea nini mungu mimi....kinyooonge unatoka class,sema ukikutana na wauni mnacheeeeeeeeekaaaaaaaaa basi unasahau na maisha ya shule yanaendelea.
nitarudi shule zote ila siyo advance ya tanzania *****....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Self CounselingPole mzigua ..... but mim i don’t regret at all chuo niliingia zangu Accounts na nmegundua hayo ndo maisha niliyokuwa nayataka ,chuo ilikuwa raha saana kusoma mpaka ratiba ya mtihan itoke full bata usista duu sasa, inshort kila nikifikiria incase nngekuwa eng. mda huu ningekuwa site na li ovaloli sijui daah akil hainipi kabisaaa . Am really happy with what am doin ryt now
Mmh umisetta na shule wapi na wapi? Tena mara nyingi watu wa umisetta enzi zetu walikuwa ni chakula cha washkj flani walokuwa hawaendi Likizo: ILBORU 1999-2001Sasa mimi nimeshiriki umiseta form five na form six. Nilikua naendaga kibaha kambini halagu nilikua nimezoeana zoena na watu wa kule basi nikimaliza kucheza jioni ile nakua na maswali yangu nauliza. Ijumaa narudi shule kupiga pepa na nafaulu fresh tu ila Math ndo nilikua hata nikeshe nasoma siwez kufaulu.