tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,315
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ila physics ni shida sana.Hahaaa advance kazi yangu ilikua ni kukariri page za vitabu na maswali+majibu yake kwenye page husika...
Kwahio mtu akiniletea swali namtajia page alipolitoa halafu namtajia jibu kwa mbwembwe mwisho na swali linanishinda..
[emoji1] [emoji1] [emoji1] pole sana mkuu.Magnetism mpka naondoka adv, sija wahi igusa !
Wave , electronic, modern physcics, heat, ndo zilikuwa topic zangu,
Mungu si athumani
Nikapata F ,
Ndio, unasoma na kuelewa bila mwalimu.Aiseeee S.chand alikuwa vitabu vizur saaana yaani vimeelezewa vizur na kama hujaelewa topic chand lazima uelewe sio kama mavitabu ya wazungu .....chand ya math mzee aliliwa pesa yake tuu hakuna kitu mule ..... nilivyogundua hivyo tu nikakiuzwa fasta nikababiwa na phy ,chem .
Civil eng sio mchezo mkuu physics ya advence. Ni kijisehemu tu kwenye civil kuna nyanga zimekazwa kinoma kama unapenda sana civil eng rud shule mkuuBasi nimeghairi [emoji23][emoji23][emoji23]
Nikipata hela nitarudi shule. Hakuna kinachonishinda darasani.Civil eng sio mchezo mkuu physics ya advence. Ni kijisehemu tu kwenye civil kuna nyanga zimekazwa kinoma kama unapenda sana civil eng rud shule mkuu
Chand kilikua vizuri kwenye conceptual questions ila calculation si sana
Mkuu physics ni habari nyingine...mwaka 2013 TO alikuwa na C ya physics sasa imagine wenzangu na mimi walipata ngapi??[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ila physics ni shida sana.
Sikuwahi kuvitumia wakati nasoma. Nimesoma kitabu chake cha kemia naona kiko vizuri, unaelewa kirahisi tofauti na vitabu vya wazungu.Yeah calculation hayupo vizur .......Chand ya math ndo hamna kitu kabisa tena chand I ni uchafu mtupu inshort ni kama hesabu za form 2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa advance kazi yangu ilikua ni kukariri page za vitabu na maswali+majibu yake kwenye page husika...
Kwahio mtu akiniletea swali namtajia page alipolitoa halafu namtajia jibu kwa mbwembwe mwisho na swali linanishinda..
Au swali likiwa gum unaandika data na kudrive ka formula then unaliacha unasubili maksi yako 1 ya data na formula[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahahaha umenikumbusha mbali sikumbuk kat ya olevel ama adv kwenye kuna baadh ya topic nilikuwa sijamaster basi swali likija nikawa naderive formula tuu na nilikuwa napenda saana kuderive yaani kila formula sijui equation lazima niijue derivation yake ........ swali silijui mi na derive formula yake mchezo umeishia hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] labda practical iliokoa jahazi. Mimi sikuwahi kusoma tuition maishani mwangu halafu mwl wa physcs akatufundisha measurement na mechanics tu. Alikuwa na sauti ya chini hamna anaemuelewa ukisema hujaelewa unaambiwa kanywe maji[emoji1] [emoji1] .Basi haki yangu kupata E. Shule niliyoenda advance sisi ndo tulikua PCM wa kwanza. Hamna walimu hamna lab hamna chochote. Walimu walikua ni wa O level. Bila kukomaa na tuition na umakini wa nisicheze na hela ya mama ningezungusha zero kubwa tu. Ila PCM sisomi hata iweje. Niko radhi nikasome PhD ila PCM sirudi. Kwanza hata kupata E ilikua miujiza tu.
Uelewe we nani kwa mfano. Unakariri ukajibie mtaani utaelewa baadae huko.[emoji3] [emoji3] labda practical iliokoa jahazi. Mimi sikuwahi kusoma tuition maishani mwangu halafu mwl wa physcs akatufundisha measurement na mechanics tu. Alikuwa na sauti ya chini hamna anaemuelewa ukisema hujaelewa unaambiwa kanywe maji[emoji1] [emoji1] .
Biology tulikuwa na mwl crazy akija class anafundisha vinavyomjia kichwani tu.
Chemistry kidogo tulisoma vizuri ila kuna maswali ya physical chemistry yamepinda[emoji125], elimu ya bongo ni kukariri tu hamna kitu.
Nikipata hela nitarudi shule. Hakuna kinachonishinda darasani.
Kwakweli physics ni shida mimi practical ilinisaidia kwa kiasi chake.Mkuu physics ni habari nyingine...mwaka 2013 TO alikuwa na C ya physics sasa imagine wenzangu na mimi walipata ngapi??
Yan kuna topic kama hio mtoa maada aliyosema projectile yaani kuisoma class mnatumia vipindi viwili tu lkn mziki wa maswali unaweza kuhama combi[emoji23] [emoji23]
Sijielewi bado. Sema nitaanza kwanza na CPA halafu nikamalizie kwingine.Hongera mzigua yaani hadi unamawazo ya kurudi tena ........wakina sie tulishakata miguu yaani hapa hata baadhi topic sizikumbuki inshort nimeshalevya na mambo finance hata nikirud shule ni humo humo tu najisikia raha kuisoma pesa!!!
Pesa ndo mpango mzima.Hongera mzigua yaani hadi unamawazo ya kurudi tena ........wakina sie tulishakata miguu yaani hapa hata baadhi topic sizikumbuki inshort nimeshalevya na mambo finance hata nikirud shule ni humo humo tu najisikia raha kuisoma pesa!!!
Sikuwahi kuvitumia wakati nasoma. Nimesoma kitabu chake cha kemia naona kiko vizuri, unaelewa kirahisi tofauti na vitabu vya wazungu.
Makosa madogomadogo yapo.
Pesa ndo mpango mzima.Hongera mzigua yaani hadi unamawazo ya kurudi tena ........wakina sie tulishakata miguu yaani hapa hata baadhi topic sizikumbuki inshort nimeshalevya na mambo finance hata nikirud shule ni humo humo tu najisikia raha kuisoma pesa!!!