Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

Wale tulipata F ya math tunacomment kwa tecno[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Acha hizo mkuu.
Nina Tecno yangu hapa ila hesabu kuanzia shule ya msingi hadi Advance(BAM) niliitembeza sana
 
Si mchezo aiseee
 
Sio kila mtu kasoma mkuu.

Mimi niliishia form four sikuendelea na shule.
Nilivuna nilichopanda.nilitoka na 4 yangu basi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa uliilewaje Physics alafu ukapata 4????
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa uliilewaje Physics alafu ukapata 4????
Kama nilisoma topic nne tu na siku fanya mtihani huo wa physics hapo physics ingenisaidiaje ili nisipate hiyo four?

Haya maswali unayouliza unadhalilisha waliosoma physics.
 
Mkuu nimekusoma vyema sana.
Nitanote sehemu
 
Ahsante sana kwa kuufuma huu uzi, Eeee bwana eee Mbezi high sitakuja kupasahau nilivyoaibika mnyama Physics si mzuri nakumbuka nilichelewa kuripoti shule mwezi na nusu Alafu O_LEVEL nimetokea Mwanza sec nikijiona mnyama sana kwa sababu sikuwa na mshindani Test ya kwanza tu nina Zero ndipo nikaanza Tabia mbaya rasmi😏😏
 
Dah pole sana.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Phys ni kitu kingine mkuu, usicheze nacho wala kukichekea
 
Duuuh physics hatari tupu limenifanya hata Chuo nipaone pakisenge sana of course limenifanya nikose appetite yakwenda Chuo nanibaki mtaani napambana congratulation advance physics [emoji375][emoji375][emoji375]
 
Pole sana mkuu

Nakumbuka Side Mgote alivyokua Anakuja kupiga kambi pale school, halafu anavyopiga Pindi kwa speed nikachukia kabisa mapindi yake Nikasema matango ya Mgote sisomi Mie.
 
Nakumbuka Side Mgote alivyokua Anakuja kupiga kambi pale school, halafu anavyopiga Pindi kwa speed nikachukia kabisa mapindi yake Nikasema matango ya Mgote sisomi Mie.
Mgote pindi zake nilikuwa naelewa kidogo sana ila notes zake nilikuwa nazisoma mwanzo mwisho na kuzielewa vizuri
 
Mgote pindi zake nilikuwa naelewa kidogo sana ila notes zake nilikuwa nazisoma mwanzo mwisho na kuzielewa vizuri
Kuna jamaa alikuwa anatufundisha physics secondary yupo vzuri sana,ila tulipokuja kuuliza tukaambiwa form six PCM alichemka hakuvuka alifeli.basi niliogopa sana kwa hizi stories nikaona isiwe tabu nikamuacha pwana physics...
 
Tuko wote kwenye hili la kuiacha physics[emoji23]
 
Mimi nilkuwa mtaalam Wa mathematics primary na olevel,nkapangwa arusha tech nikawa nasoma mifano ya mwalimu tu kwenye topic ya differentiate na nini huko nikawa naona wengne tukiwa vyumban muda wote wanakomaa na mathematics nikawa najiulza wameshndwaje kuelewa haraka,ulipo fika mtihan nkakutana na concept tofauti za maswali wakat topic n ile ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…