Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Acha hizo mkuu.Wale tulipata F ya math tunacomment kwa tecno[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nina Tecno yangu hapa ila hesabu kuanzia shule ya msingi hadi Advance(BAM) niliitembeza sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha hizo mkuu.Wale tulipata F ya math tunacomment kwa tecno[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kuifaulu Phys inahitaji uthubutu na kujituma kwa mtu binafsi, hamna strategies maalumu za kufuata ili uweze kuifaulu ambapo tukisema kila mtu anayesoma Phys aziapply ndio atafaulu, never.
Jambo la kwanza lipende somo husika(Phys), niliipenda japo ilikuwa ngumu, sikukata tamaa kuisoma bali nilitia juhudi zaidi.
Nilibaini topic ngumu na rahisi, ili niweze kuwekeza nguvu kwa kila topic kulingana na uzito wake.
Nilisoma notes sambamba na kusolve maswali kwa wingi(nilisoma sana notes za Mgote, Chand zote 2, Nelkon, Understanding Physics, University Physics, Roger Muncaster, Review), ingawa maswali karibia yote ya hivyo vitabu nilikuwa siyakosi kwenye notes za Mgote yakiwa solved na mengine yakiwa yamewekewa bila kusoviwa.
Nilisolve sana past papers hasa za NECTA huku nikilinganishe jinsi wanavyotunga maswali mwaka mmoja na mwaka mwingine, na jinsi wanavyorudia maswali kwa interval fulani kwa kila topic husika.
Nilifanya sana mitihani ya kujipima, ndani na nje ya shule. Ndani ya shule tulitungiana papers sisi kwa sisi wanafunzi, nje ya shule nilienda kupiga series kwa Mtiga Mwenge ambapo tulilipia paper.
Kutokana na hizo series niliweza kubaini makosa na kuyarekebisha ikiwemo namna ya kujibu mitihani ya Phys(haihitaji siasa ni straight to the point hasa kwa Conceptual qns) na kuanza kujibu sections zenye maswali marahisi japo unaweza kukuta ina maksi chache(tambua sections ngumu na rahisi kwa kila paper).
Mwisho wa siku utaimprove na kuwa na uhakika wa kupata japo 50%.
Kwa kifupi ni hivyo ndivyo nilivyokuwa naisoma Phys.
NB: Kila siku ilikuwa lazima niguse masomo yote ya Combination(Phys, Chem, Biology).
Physics for leisure??? alafu ukasoma biashara au masomo gani???
Ndio bibi yangu cocochanel.Na maisha yakasonga mbele kwa furaha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa uliilewaje Physics alafu ukapata 4????Sio kila mtu kasoma mkuu.
Mimi niliishia form four sikuendelea na shule.
Nilivuna nilichopanda.nilitoka na 4 yangu basi.
Kama nilisoma topic nne tu na siku fanya mtihani huo wa physics hapo physics ingenisaidiaje ili nisipate hiyo four?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa uliilewaje Physics alafu ukapata 4????
Mkuu nimekusoma vyema sana.Kuifaulu Phys inahitaji uthubutu na kujituma kwa mtu binafsi, hamna strategies maalumu za kufuata ili uweze kuifaulu ambapo tukisema kila mtu anayesoma Phys aziapply ndio atafaulu, never.
Jambo la kwanza lipende somo husika(Phys), niliipenda japo ilikuwa ngumu, sikukata tamaa kuisoma bali nilitia juhudi zaidi.
Nilibaini topic ngumu na rahisi, ili niweze kuwekeza nguvu kwa kila topic kulingana na uzito wake.
Nilisoma notes sambamba na kusolve maswali kwa wingi(nilisoma sana notes za Mgote, Chand zote 2, Nelkon, Understanding Physics, University Physics, Roger Muncaster, Review), ingawa maswali karibia yote ya hivyo vitabu nilikuwa siyakosi kwenye notes za Mgote yakiwa solved na mengine yakiwa yamewekewa bila kusoviwa.
Nilisolve sana past papers hasa za NECTA huku nikilinganishe jinsi wanavyotunga maswali mwaka mmoja na mwaka mwingine, na jinsi wanavyorudia maswali kwa interval fulani kwa kila topic husika.
Nilifanya sana mitihani ya kujipima, ndani na nje ya shule. Ndani ya shule tulitungiana papers sisi kwa sisi wanafunzi, nje ya shule nilienda kupiga series kwa Mtiga Mwenge ambapo tulilipia paper.
Kutokana na hizo series niliweza kubaini makosa na kuyarekebisha ikiwemo namna ya kujibu mitihani ya Phys(haihitaji siasa ni straight to the point hasa kwa Conceptual qns) na kuanza kujibu sections zenye maswali marahisi japo unaweza kukuta ina maksi chache(tambua sections ngumu na rahisi kwa kila paper).
Mwisho wa siku utaimprove na kuwa na uhakika wa kupata japo 50%.
Kwa kifupi ni hivyo ndivyo nilivyokuwa naisoma Phys.
NB: Kila siku ilikuwa lazima niguse masomo yote ya Combination(Phys, Chem, Biology).
Dah pole sana.Ahsante sana kwa kuufuma huu uzi, Eeee bwana eee Mbezi high sitakuja kupasahau nilivyoaibika mnyama Physics si mzuri nakumbuka nilichelewa kuripoti shule mwezi na nusu Alafu O_LEVEL nimetokea Mwanza sec nikijiona mnyama sana kwa sababu sikuwa na mshindani Test ya kwanza tu nina Zero ndipo nikaanza Tabia mbaya rasmi[emoji57][emoji57]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ahsante sana kwa kuufuma huu uzi, Eeee bwana eee Mbezi high sitakuja kupasahau nilivyoaibika mnyama Physics si mzuri nakumbuka nilichelewa kuripoti shule mwezi na nusu Alafu O_LEVEL nimetokea Mwanza sec nikijiona mnyama sana kwa sababu sikuwa na mshindani Test ya kwanza tu nina Zero ndipo nikaanza Tabia mbaya rasmi[emoji57][emoji57]
Duuuh physics hatari tupu limenifanya hata Chuo nipaone pakisenge sana of course limenifanya nikose appetite yakwenda Chuo nanibaki mtaani napambana congratulation advance physics [emoji375][emoji375][emoji375]
Nakumbuka Side Mgote alivyokua Anakuja kupiga kambi pale school, halafu anavyopiga Pindi kwa speed nikachukia kabisa mapindi yake Nikasema matango ya Mgote sisomi Mie.Daaahhh, nimepamiss Gomz sana, nilikuwa nashona goti hadi Gomz nikitaka kudrop kwenda kupiga series Mwenge za Phys kwa Mtiga.
Sitasahau aisee, plus vimbwanga vya kupambana na Makondakta wa Gari za Gomz-Mwenge maana tulikuwa tunatinga civilian clothes halafu wakati wa kulipa nauli tunatoa ID, Konda ana mind sana..
Mgote pindi zake nilikuwa naelewa kidogo sana ila notes zake nilikuwa nazisoma mwanzo mwisho na kuzielewa vizuriNakumbuka Side Mgote alivyokua Anakuja kupiga kambi pale school, halafu anavyopiga Pindi kwa speed nikachukia kabisa mapindi yake Nikasema matango ya Mgote sisomi Mie.
Kuna jamaa alikuwa anatufundisha physics secondary yupo vzuri sana,ila tulipokuja kuuliza tukaambiwa form six PCM alichemka hakuvuka alifeli.basi niliogopa sana kwa hizi stories nikaona isiwe tabu nikamuacha pwana physics...Mgote pindi zake nilikuwa naelewa kidogo sana ila notes zake nilikuwa nazisoma mwanzo mwisho na kuzielewa vizuri
Nakumbuka Side Mgote alivyokua Anakuja kupiga kambi pale school, halafu anavyopiga Pindi kwa speed nikachukia kabisa mapindi yake Nikasema matango ya Mgote sisomi Mie.
Tuko wote kwenye hili la kuiacha physics[emoji23]Kuna jamaa alikuwa anatufundisha physics secondary yupo vzuri sana,ila tulipokuja kuuliza tukaambiwa form six PCM alichemka hakuvuka alifeli.basi niliogopa sana kwa hizi stories nikaona isiwe tabu nikamuacha pwana physics...
Kisha tunaanza kusumbuana qualification za kujiunga na masomo ya afya.Just for leisure