Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

Mimi prac za Phyz nilikuwa nafoji sana kuanzia O-level hadi Advance, chache nilikuwa nafanya real
 
Mimi sijapitia huko nilivikuta FTC.DIT kwenye electric and electricity nagonga umeme vibaya hadi mwalimu wa umeme akawa ananikubali lakini hapo hapo akawa anashanga huyu jamaa mbona electronics ina msumbua hadi Leo. Ni electrician mzuri sanaa ila maisha hayana formula. Aise nafanya busy nyingine kabisa.baada ya miaka nane ya kuhasle kwenye kazi za umeme.
 
Hongera kwa moyo wa uvumilivu
 
Haha aisee siamin o-level nilikua physics nagonga 90% kuja advance level nikawa napata namba za viatu daah yaani 12% 11%...ni maksi za kawaida sna kwangu haha nikajiona kama nimelogwa vile

Ila nikichek masela nao hoooi yaani siwezi sahau two years ya advance level ilikua kama miaka mia vile [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa kweli physics ilinisumbuaga sana ila nashukuru kemia nilikua vizur kupita maelezo, chemistry na biology vikaniokoa necta ila kwa kwel ad physics nilizingua na nilikua siipendi toka moyoni hadi leo hii.
 
Katika elimu ngumu nilyowah kusoma ni ile physics ya advance nilianza kuvurugwa siku ya kwanza tu naingia darasan
 
Katika elimu ngumu nilyowah kusoma ni ile physics ya advance nilianza kuvurugwa siku ya kwanza tu naingia darasan
Mkuu siku ya kwanza ulikutana na madude gani hayo aiseee?? Au nyie shuleni kwenu mlianza na yale wanaitwa Newton Rings ???
 


kwenye necta physics ulipata grade gani? Mwifwa
 
Mkuu siku ya kwanza ulikutana na madude gani hayo aiseee?? Au nyie shuleni kwenu mlianza na yale wanaitwa Newton Rings ???
Mkuu hongera naona uliamua kukomaa nayo ad university[emoji122] [emoji122]
 
Hongera mkuu mwifwa , kuna jamaa yangu mmoja alichukua PCM, aliniambia watu wanaopata Div 1 point 3 ya PCM:
A- kwenye physics A- kwenye chemistry na A- kwenye math ya "Advanced level" "wana matatizo nyumbani kwao, nlicheka sana.. Mwifwa Deadbody
Matatizo kama yapi?

Kama sio uongo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…