Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

Hongera mkuu mwifwa , kuna jamaa yangu mmoja alichukua PCM, aliniambia watu wanaopata Div 1 point 3 ya PCM:
A- kwenye physics A- kwenye chemistry na A- kwenye math ya "Advanced level" "wana matatizo nyumbani kwao, nlicheka sana.. Mwifwa Deadbody
Hahahah inaweza ikawa inakaukweli aiseee,ila mimi niliambulia A ya math tu Olev na Alev
 
Physics nuksi ilimfanya kakangu kupata uwaraza akiwa na miaka 22 tu cha ajabu mi nakaribia thirty now kipara ndyo kinaanza by the way mi nilisoma arts tht y nahis kipara kimechelewa laiti ningesoma physics sa iv ningekuwa na uwaraza wa hatari
 
Physics noma ila kwangu Maths ilikua noma zaidi. Sijawahi kuipenda math advance. Kwa kifupi tulikua hatupendani na Math.
Toka O-level nilikuwa na ndoto za kusoma PCM lakini nilibadilisha gia angani ghafla.

Math ningeikomalia sana maana nilikuwa naipenda sana, BAM nilikuwa nasomea pepa lakini niliinyanyasa sana.
 
Toka O-level nilikuwa na ndoto za kusoma PCM lakini nilibadilisha gia angani ghafla.

Math ningeikomalia sana maana nilikuwa naipenda sana, BAM nilikuwa nasomea pepa lakini niliinyanyasa sana.
Mimi nilikua nataka PGM. Ila nashukuru Mungu kusoma PCM at least Chemistry ilinisaidia.
 
kihombo huyo
 
Mwamba anaitwa Elias kihombo alikuwa na sifa sana huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…