Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nijilinganishe nione tulikuaje,maanake unaweza kuwa kibabu au mdogo wangu, ukiweka mwaka naweza kukutajia watabe wa physics pale mchikichi miaka hiyoIli iweje?
Mbona hata hapo mada haijakuzuia kutaja.Wengine wmemtaja hata kazibure ambaye huenda humjui kabisa.Wee taja tu unavyojisikia maana humu JF hatujiweki wazi kuhofia usalama wetu.Ukiona huwezi kuwa tu msomaji sio mbayaNijilinganishe nione tulikuaje,maanake unaweza kuwa kibabu au mdogo wangu, ukiweka mwaka naweza kukutajia watabe wa physics pale mchikichi miaka hiyo
Mi nilikua mchikichi miaka ya 2004 Mkuu, haaaaah haaaaah watu waoga kinyamaMbona hata hapo mada haijakuzuia kutaja.Wengine wmemtaja hata kazibure ambaye huenda humjui kabisa.Wee taja tu unavyojisikia maana humu JF hatujiweki wazi kuhofia usalama wetu.Ukiona huwezi kuwa tu msomaji sio mbaya
Acha tu mwana, elimu ya a level sitaisahau I have a lot to say lakini mi mvivu wa kuandika na saiv asbh siku ndo imeanzaGood sana man tuelezee kidogo kwanza Physics ilivyokufanya kwa baadhi ya mitihani
But in short now I am a doctorAcha tu mwana, elimu ya a level sitaisahau I have a lot to say lakini mi mvivu wa kuandika na saiv asbh siku ndo imeanza
Miandiko yenu inatupa shida sana wengine, muwe mnaandika vizuri bana maandishi yasomeke.But in short now I am a doctor
Hahaaaa ,basi mama akikutambulisha unajiskia vzr mwenyewe, unatamani aulizwe VP matokeo ya binti yako ?[emoji1] [emoji1] [emoji1] kufaulu kuna raha yake jamani
Sikua nawakimbiza ila walikua wanajua nitadisco semester ya kwanza. Wakashangaa kundi langu kila semester anarudia mwaka mtu au anadisco. Ila mimi kwenye sup sionekani. Mwaka wa tatu nikapata sup ya auditing ila tulipata karibia 80% ya class.
kawaida mkuu, ila watu tulimeza maswali ya kwenye vitabu, kuandia nelkon, chand, rogers, vipam sasa vya muddy na mgote pitia vyote na kukalili majibu yani ilikuwa ni keteleza tu, japo ndio hivyo namba za viatu kwenye pepa hatukuzikwepaProjectile likikukuta swali la kuderive utaeleza, bora ya kutafuta height na range.