Afande Kagame: Wanajeshi huwa hawalalamiki?

Sio kwa mjomba Kagame,nawajua sana RPF na mentality zao.Waga wanasettle tofauti usoni tu.Museveni anawajua vizuri sababu walichomfanyia hatawasahau wanyarwandwa wale na kosa lake ilikua ni kuwaamini na kuwapa idara nyeti kwenye serikali yake.
Kagame hawezi kuthubutu kumgusa Mzee wa Msoga..atakatwa shingo asubuhi kweupe.
 
Kumbe kuna watu wanaitamani Dsm na Tz kwa ujumla??!!!.
 
Kumbe kuna watu wanaitamani Dsm na Tz kwa ujumla??!!!.
Sio kidogo Mkuu niliwahi mpa ramani Mzimbabwe jinsi ya kusafiri na sehemu za kufikia Kariakoo ananishukuru sana...pamoja na Wazambia kuja kupokea gari zao wengi walikua wanaishia Tunduma harafu wanatumia Agent muda mwingi gari zao zinapata ajali kwa kupewa madereva wa bei ndogo ikabidi waanze wenyewe kufata daslm..
 
Hilo dili ungenipa mimi 🤣🤣🤣Nina apartment,s kibao tu hazina watu.
 
Si hawa Wanigeria wanaouza nywere na vitu vya simu wanafanya vizuri kwa sababu wanapewa mzigo kutoka kwa ndugu zao waliopo China na SA...Watanzania wengi hawana taarifa ya sehemu za kupata mizigo kwa mali kauli...
Hilo sahii mkuu,wabongo wengi hawajui machimbo ya kuchukua item,s either kwa bei chee au mali kauli.Tunaishia kuona biashara ngumu,ila vilevile sisi ndio wahanga wakubwa wa kutapeliwa na hawa watu wa afrika magharibi tukiwa ughaibuni.
 
Duuh inatia simanzii [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…