Afande Meki wa Oyster Bay Polisi, kwa kumrusha kichura babu yangu (73) lazima upatwe na la kukupata

Wakipita kambi za JW wakirushwa kichura,hampigi kelele,wakipita kambi za polisi na kurushwa kichura,kelele zinaanza.
Je wafanyaje?
Kuishi nao uraiani,kusiwafanye mkawazoea sana.Ni askari hao.
Wee keng.e huo u askari gan wa kufanya upumbavu afu jw hawana hizo pigo za kipumbavu kudhalilisha wazee
 
Wanaoishi Hapo O'bey wajaribu kufatilia afande atakuwaje kuwaje kwa siku za hv Karbuni
 
Ni mwezi sasa umepita,vipi hali ya Babu.
Afande umemnyorosha?
 
Wakipita kambi za JW wakirushwa kichura,hampigi kelele,wakipita kambi za polisi na kurushwa kichura,kelele zinaanza.
Je wafanyaje?
Kuishi nao uraiani,kusiwafanye mkawazoea sana.Ni askari hao.
Kwani askari ni Mungu?? Mbona full kukopa pesa kwa raia?? Tanzania hakuna modern policing..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…