Afande Meki wa Oyster Bay Polisi, kwa kumrusha kichura babu yangu (73) lazima upatwe na la kukupata

Afande Meki wa Oyster Bay Polisi, kwa kumrusha kichura babu yangu (73) lazima upatwe na la kukupata

Uhuru umezidi mfanyeni dagaa akili imkae sawa [emoji23]
 
Wakipita kambi za JW wakirushwa kichura,hampigi kelele,wakipita kambi za polisi na kurushwa kichura,kelele zinaanza.
Je wafanyaje?
Kuishi nao uraiani,kusiwafanye mkawazoea sana.Ni askari hao.
Amepita kambi ya polisi au quarter?
 
Polisi na wanajeshi hawatishiki kwa uchawi.

Sababu wanajua ukweli kwamba uchawi ni haupo. Hauna madhara yoyote

Uchawi ni hadithi za kusadikika na kufikirika tu.
Mkuu uchawi upo na ndio maana likawepo hilo neno uchawi.
Kama wewe ni askari polisi nenda kamdhulumu au taifisha mali ya mpemba yeyote utaona shughuli yake.
 
Ukishamalza kumloga huyo askari mwambie babu yako arudie zoezi la kupita tena, ndo utajua askari wote wana akiri sawa
Nikushauri tu kama unaweza waloge askari wote hapo ndo utawaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polisi na zile mbwa zao wote wanahesabika polisi, kama huamini ua mbwa yao moja..
Utofauti wao ni polisi wenye miguu mi 4 na wenye miguu mi 2..
 
Wakipita kambi za JW wakirushwa kichura,hampigi kelele,wakipita kambi za polisi na kurushwa kichura,kelele zinaanza.
Je wafanyaje?
Kuishi nao uraiani,kusiwafanye mkawazoea sana.Ni askari hao.
Ni kazi ya laana ,inamalamiko mengi sana,wakistaafu wanakiwa kama vichaa
 
Wakipita kambi za JW wakirushwa kichura,hampigi kelele,wakipita kambi za polisi na kurushwa kichura,kelele zinaanza.
Je wafanyaje?
Kuishi nao uraiani,kusiwafanye mkawazoea sana.Ni askari hao.
Upumbavu gani unaandika? Sheria gani inampa mamlaka mwanajeshi kurusha raia kichura?
 
Kwa taarifa yako sikuogopi wewe wala ukoo wenu hata ukinitangaza hapa,yani babu afanye makosa halafu nimuache?,...na nilimsamehe tu lakini nilitaka nimkate mitama😂😂
(Joke)
Mpe pole sana babu mkuu,hawa Mapongo (in UMUGHAKA's voice) sio watu wazuri
 
Inaonekana babu yako ndo wale wazee wakati wenzao wanapambana kushika viwanja na marneo mdani ya jiji la dsm yeye alikua busy kutongoza na kuruka viwanja enzi za ujana wake huyo askari kamchukuliaje.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Duh, umemvunjia sana heshima mzee wa watu, je kuna sehemu kasema hana nyumba?
Tuwe na heshima kwa wazee wa wenzetu kama tunavyowaheshimu pia wazee wetu.

Huwa nawashangaeni watoto wa siku hizi, mathalan hapa jukwaani, katoto kadogo kanamjibu vibaya Mzee Mohamed Said, utadhani ni rika lako, bora usichangie uzi wake kama unajiona wewe ni mtoto wa kikopo
 
Back
Top Bottom