Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
Hahaha, eti Mambo ya shirkiAfande Mecky, mwembamba mrefu na mweupe, ulikuwa bodyguard wa RPC, juzi umemusha babu yangu kichura na umri wake wa miaka 73.
Mzee sasa anaumwa na hawezi hata kwenda kujisaidia haja ndogo.
Sababu ya mateso yote hayo eti kapita kwenye nyumba za polisi.
Sisi mambo ya shirki hatuna na hatuyajui, ila tunaamini kwenye kitu kimoja tu, mwana kulitafuta mwana kulipata.
Kitakachokupata itakuwa gumzo kwa polisi wenzako wasio na adabu hata kwa watu wenye umri wa babu zao.