ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Nilikuta kambi moja,nikakuta wameweka vibao HAKUNA NJIA.Huna hoja.
Hakuna askari anayetakiwa kuadhibu raia zaidi ya kumpeleka vyombo husika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuta kambi moja,nikakuta wameweka vibao HAKUNA NJIA.Huna hoja.
Hakuna askari anayetakiwa kuadhibu raia zaidi ya kumpeleka vyombo husika
Tii sheria tu hakuna atakayekudhuruNilikuta kambi moja,nikakuta wameweka vibao HAKUNA NJIA.
Sasa nimeamini wee Ni mzee mzimaFanyeni iwe funzo kwa wengine wanajiona wao ndio wao heshima hawana kabisa hasa kwa sisi wazee.
Yes. Angepelekwa mahakamaniHuna hoja.
Hakuna askari anayetakiwa kuadhibu raia zaidi ya kumpeleka vyombo husika
Kweli ndio vigezo vyao hivyoPolisi wengi walipata four na zero
🤣🤣Itakua walimhisi mzee Ni Panya Road senior.
Polisi na wanajeshi hawatishiki kwa uchawi.
Sababu wanajua ukweli kwamba uchawi ni haupo. Hauna madhara yoyote
Uchawi ni hadithi za kusadikika na kufikirika tu.
Hapo zamani za kale nilikua ninaamini kama wewe unavyoamini.
Wewe ni Mzee waapii? Ebu angalia iyo avatar picha Yako.Fanyeni iwe funzo kwa wengine wanajiona wao ndio wao heshima hawana kabisa hasa kwa sisi wazee.
wasiliana na ndug yetu Mshana Jr huyo polisi akil itamkaa sawaAfande Mecky, mwembamba mrefu na mweupe, ulikuwa bodyguard wa RPC, juzi umemusha babu yangu kichura na umri wake wa miaka 73.
Mzee sasa anaumwa na hawezi hata kwenda kujisaidia haja ndogo.
Sababu ya mateso yote hayo eti kapita kwenye nyumba za polisi.
Sisi mambo ya shirki hatuna na hatuyajui, ila tunaamini kwenye kitu kimoja tu, mwana kulitafuta mwana kulipata.
Kitakachokupata itakuwa gumzo kwa polisi wenzako wasio na adabu hata kwa watu wenye umri wa babu zao.
Cheka sana chalyanguItakua walimhisi mzee Ni Panya Road senior.
Mshughulikie Mkuu hawezi kumtia Ulemavu babu yakoAfande Mecky, mwembamba mrefu na mweupe, ulikuwa bodyguard wa RPC, juzi umemusha babu yangu kichura na umri wake wa miaka 73.
Mzee sasa anaumwa na hawezi hata kwenda kujisaidia haja ndogo.
Sababu ya mateso yote hayo eti kapita kwenye nyumba za polisi.
Sisi mambo ya shirki hatuna na hatuyajui, ila tunaamini kwenye kitu kimoja tu, mwana kulitafuta mwana kulipata.
Kitakachokupata itakuwa gumzo kwa polisi wenzako wasio na adabu hata kwa watu wenye umri wa babu zao.
Wakipita kambi za JW wakirushwa kichura,hampigi kelele,wakipita kambi za polisi na kurushwa kichura,kelele zinaanza.
Je wafanyaje?
Kuishi nao uraiani,kusiwafanye mkawazoea sana.Ni askari hao.