Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Blah blah blah blahKila mtu ana imani yake.
Ila kwa polisi ama wanajeshi hizo imani hawaziogopi maana training zao askari huwa wanaelekezwa ujanja ujanja unaotumika katika hizo imani potofu za kusadikika
Aisee...Dah poleni Sana,nawaza ingekua Mimi sijui ningefanya maamuzi gani ya hasira
Avatar ni avatar haihusiani na uzee wangu.Wewe ni Mzee waapii? Ebu angalia iyo avatar picha Yako.
Huyu Kweli Ni mzee Tena pia Ni senior member kbsa hapa ,simfahamu ila nilikuja kujuwa baada ya yey kujibishana nae ktk Uzi wangu Fln HV ,ila pia anamatusi Sana na maziara piaWewe ni Mzee waapii? Ebu angalia iyo avatar picha Yako.
[emoji23][emoji23][emoji23] ila wee faza Ni kiboko na majibu yako fupi fupiAvatar ni avatar haihusiani na uzee wangu.
Mm naishi huku Koromije.
Sisi mambo ya shirki hatuna na hatuyajui, ila tunaamini kwenye kitu kimoja tu, mwana kulitafuta mwana kulipata.[emoji23]Afande Mecky, mwembamba mrefu na mweupe, ulikuwa bodyguard wa RPC, juzi umemusha babu yangu kichura na umri wake wa miaka 73.
Mzee sasa anaumwa na hawezi hata kwenda kujisaidia haja ndogo.
Sababu ya mateso yote hayo eti kapita kwenye nyumba za polisi.
Sisi mambo ya shirki hatuna na hatuyajui, ila tunaamini kwenye kitu kimoja tu, mwana kulitafuta mwana kulipata.
Kitakachokupata itakuwa gumzo kwa polisi wenzako wasio na adabu hata kwa watu wenye umri wa babu zao.

AjitathminiKisasi ni haki kama mlengwa amefanya kweli kosa. Hakuna namna natoa baraka zangu in advance.
Polisi wanakufa vifo vibaya sana, na huyu siku zake ziko ukingoniPolisi na wanajeshi hawatishiki kwa uchawi.
Sababu wanajua ukweli kwamba uchawi ni haupo. Hauna madhara yoyote
Uchawi ni hadithi za kusadikika na kufikirika tu.
Jeshi letu la Polisi bado lina ethics za jeshi la kikoloni. Hawaelewi hata maana ya neno Police. Hawajui. Wanataka kujifananisha na JWTZ. Ni tofauti. Bahati mbaya sana wengi ni form four failures na wengi wana vyeti fake. We still have a very long way to go.Afande Mecky, mwembamba mrefu na mweupe, ulikuwa bodyguard wa RPC, juzi umemusha babu yangu kichura na umri wake wa miaka 73.
Mzee sasa anaumwa na hawezi hata kwenda kujisaidia haja ndogo.
Sababu ya mateso yote hayo eti kapita kwenye nyumba za polisi.
Sisi mambo ya shirki hatuna na hatuyajui, ila tunaamini kwenye kitu kimoja tu, mwana kulitafuta mwana kulipata.
Kitakachokupata itakuwa gumzo kwa polisi wenzako wasio na adabu hata kwa watu wenye umri wa babu zao.
Unaliwa na mapopo.Lameck unamjua vizuri kweli! Kwanza polisi wa TZ apigwi kifala tu.Uongo wako kamwambie mama yako.Juzi kamsimamisha bro wangu, akamwambia achuchumae, bro akagoma, akamvaa mwilini, bro akamchapa makofi, akaita wenzake, wenzake wakampuuza tu, wakamwambia achana naye, alichofanikiwa ni kukata vifungo viwili vya shati la bro
Unachanganya 'Senior' na 'Superior'Senior sio umri, ni ukuu.
boss wako is your senior hata kama umemzidi umri
Ukitoa kitisho kabla ya kutengeneza dawa unakuwa umeshaizimua haitafanya kaziKitakachokupata itakuwa gumzo kwa polisi wenzako wasio na adabu hata kwa watu wenye umri wa babu zao.
Unachanganya 'Senior' na 'Superior'
Huyu Lameck Mbulu kapigwa kama kinda la chekechea. Sijui huo ulinzi anaufanyeje?Unaliwa na mapopo.Lameck unamjua vizuri kweli! Kwanza polisi wa TZ apigwi kifala tu.Uongo wako kamwambie mama yako.
Huyu boya anaishi police lineUzuri polisi wanaishi na sisi mitaani. Tuwe tunaelezana kimya kimya, itafika mahala tutakuwa na lugha moja hata kama hawapendi.