figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Umejipendekeza sana, umetugonga Virungu vya ugoko hadi ukawa unachekelea. Kiko wapi sasa?🤣🤣
Sasa njoo mtaani uone kulivyo kutamu.
Watoto wako walikuwa wanajiona cake, sasa hofu imewatanda.
Nenda sasa kakutane na jeuri kama yako kwenye madilisha ya NSSF.
Sitaki kusikie ukisema tusameheane tulipokosea. Pambana na hali yako.
Nikikutana na wewe ntakuwa nakucheka kwa mujibu wa Sheria🤣🤣🤣
Inaitwa Tii Uzee bila Shuruti
==
Februari 25, 2025, ACP Charles Mafwele alitoa taarifa kama Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, hali iliyozua maswali kuhusu CP Jumanne Muliro. Kutokuwepo kwa Muliro hadharani na Mafwele kuchukua nafasi hiyo kuliibua tetesi kadhaa kuhusu Muliro.
Soma: Faustine Mafwele aliyetuhumiwa kumteka Sativa kupandishwa cheo kuwa Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar?