Kabisaaaa..usiiamin serikali hii ya ccmau balozi
Huyu ni seniour officers wa polisi, hawana njaa hawa. But yes na agree hapo kwenye miscounducts zakeUmejipendekeza sana, umetugonga Virungu vya ugoko hadi ukawa unachekelea. Kiko wapi sasa?🤣🤣
Sasa njoo mtaani uone kulivyo kutamu.
Watoto wako walikuwa wanajiona cake, sasa hofu imewatanda.
Nenda sasa kakutane na jeuri kama yako kwenye madilisha ya NSSF.
Sitaki kusikie ukisema tusameheane tulipokosea. Pambana na hali yako.
Nikikutana na wewe ntakuwa nakucheka kwa mujibu wa Sheria🤣🤣🤣
Inaitwa Tii Uzee bila Shuruti
Hakuna Polisi asiye na njaa. Sababu mali za wizi na unyang'anyi hazidumu.Hana njaa huyo, usikariri maisha
Inategemea na LEVELSHakuna Polisi asiye na njaa. Sababu mali za wizi na unyang'anyi hazidumu.
Umasikini wa Mapolisi wa kurithi. Anakuwa vizuri akiwa na Serikalini. Halafu huyu siku ya kumuaga watampa zawadi ya Hotpot au wakijitahidi Friji.Inategemea na LEVELS
😀😀Kabisaaaa..usiiamin serikali hii ya ccm
Siyo rahisi kwa cheo chake.Huyo si muda utasikia kawa mkuu wa mkoa au mwenyekit wa bodi au taasis flan ya serikali
Unajua kufilisika? Hawa kinachowafanya waishi sio mishahara bali rushwa, wizi na unyang'anyi.Siyo rahisi kwa cheo chake.
Kwa cheo chake awezi kulamba teuzi yoyoteWatu mnajifariji sana, usidhani huyo akistaafu anakuwa mganga njaa mwenzako.
Huyo atafuata njia aliyopita Simon Nyakoro Sirro. Kama sio ubalozi atapewa hata uenyekiti wa bodi kubwa tu hapa nchini.
Kwani huo ubalozi ndo hatastaafu? Bottom line ukipewa nafasi kuwa humble na usinyanyase watu.Watu mnajifariji sana, usidhani huyo akistaafu anakuwa mganga njaa mwenzako.
Huyo atafuata njia aliyopita Simon Nyakoro Sirro. Kama sio ubalozi atapewa hata uenyekiti wa bodi kubwa tu hapa nchini.