kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,966
- 26,220
Mahita ndio anatia huruma ukimuonaSirro anajielewa na yuko serious hana ukujipendekeza km huyu,
Kuna yule Kova ni amechoka kachakaa balaa mpaka anafurahisha sana
Mahita ndio anatia huruma ukimuonaSirro anajielewa na yuko serious hana ukujipendekeza km huyu,
Kuna yule Kova ni amechoka kachakaa balaa mpaka anafurahisha sana
Wakiww on top wanajitoaga akili km matoy acha wakomeMahita ndio anatia huruma ukimuona
Hana njaa? Tuulize tunayejua alikotoka Kata ya Mabamba,Taarafa ya Mabamba ,wilaya ya Kibondo ,Mkoa wa Kigoma.Hana njaa huyo, usikariri maisha
Yaani taarifa ya tarehe 25 Februari, 2025 ndiyo imepelekea kupata hisia kuwa Muliro katemwa au kastaafu?Februari 25, 2025, ACP Charles Mafwele alitoa taarifa kama Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, hali iliyozua maswali kuhusu CP Jumanne Muliro. Kutokuwepo kwa Muliro hadharani na Mafwele kuchukua nafasi hiyo kuliibua tetesi kadhaa kuhusu Muliro.
Teh teh ...... unakujuwa uraiani au unakusikiaWabongo bana 😄
Sasa unafkiri huyo maisha yake ni kama yako?… mfuatilie na usubiri usikie/uone atakuwa nani
Ficha upumbavu wako 😊
Alikuwa na demu wake pale Kanyamahela kama waelekea NengoHana njaa? Tuulize tunayejua alikotoka Kata ya Mabamba,Taarafa ya Mabamba ,wilaya ya Kibondo ,Mkoa wa Kigoma.
Nikikuletea nyumba yao utalia