Sioni chochote cha kupongezana kwenye huu uzi ....Umejipendekeza sana, umetugonga Virungu vya ugoko hadi ukawa unachekelea. Kiko wapi sasa?🤣🤣
Sasa njoo mtaani uone kulivyo kutamu.
Watoto wako walikuwa wanajiona cake, sasa hofu imewatanda.
Nenda sasa kakutane na jeuri kama yako kwenye madilisha ya NSSF.
Sitaki kusikie ukisema tusameheane tulipokosea. Pambana na hali yako.
Nikikutana na wewe ntakuwa nakucheka kwa mujibu wa Sheria🤣🤣🤣
Inaitwa Tii Uzee bila Shuruti
==
Februari 25, 2025, ACP Charles Mafwele alitoa taarifa kama Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, hali iliyozua maswali kuhusu CP Jumanne Muliro. Kutokuwepo kwa Muliro hadharani na Mafwele kuchukua nafasi hiyo kuliibua tetesi kadhaa kuhusu Muliro.
Soma: Faustine Mafwele aliyetuhumiwa kumteka Sativa kupandishwa cheo kuwa Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar?
Kubwabwaja ndio kiajeNyie mnabwabwaja hapa ila mpo ng'ambo huko.
Wenzenu tupo tunazurula bongo muda wote 😹mnataka tubwabwaje pamoja hapa
Msituponze
Unazuga tu waone kama wamo kumbe Kanya boya😄Siwezi kabisa kuchukua kadi ya chama ambacho Wala sikipendi.
Hadi sasa mimi si mwanachama wa chama chochote, sijawahi kumiliki kadi ya chama chochote cha siasa.
Aendae juu kipungu lakini hafikii Mbinguni na dua la kuku daima halimpati mwewe!! Pole sana utakufa nacho kijiba cha roho!Umejipendekeza sana, umetugonga Virungu vya ugoko hadi ukawa unachekelea. Kiko wapi sasa?🤣🤣
Sasa njoo mtaani uone kulivyo kutamu.
Watoto wako walikuwa wanajiona cake, sasa hofu imewatanda.
Nenda sasa kakutane na jeuri kama yako kwenye madilisha ya NSSF.
Sitaki kusikie ukisema tusameheane tulipokosea. Pambana na hali yako.
Nikikutana na wewe ntakuwa nakucheka kwa mujibu wa Sheria🤣🤣🤣
Inaitwa Tii Uzee bila Shuruti
==
Februari 25, 2025, ACP Charles Mafwele alitoa taarifa kama Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, hali iliyozua maswali kuhusu CP Jumanne Muliro. Kutokuwepo kwa Muliro hadharani na Mafwele kuchukua nafasi hiyo kuliibua tetesi kadhaa kuhusu Muliro.
Soma: Faustine Mafwele aliyetuhumiwa kumteka Sativa kupandishwa cheo kuwa Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar?
Nafikiri atakuwa amestaafu, umri umeenda sanaAmestaafu au ametemwa.....lete uthibitisho ili tujue tunaenda kunywa BIA AU la
Mimi sina haha ya kuzuga kwa kweliUnazuga tu waone kama wamo kumbe Kanya boya😄
Wanaomsimanga unayajua maisha yao?Wabongo bana 😄
Sasa unafkiri huyo maisha yake ni kama yako?… mfuatilie na usubiri usikie/uone atakuwa nani
Ficha upumbavu wako 😊
Nenda sasa kakutane na jeuri kama yako kwenye madilisha ya NSSF.Umejipendekeza sana, umetugonga Virungu vya ugoko hadi ukawa unachekelea. Kiko wapi sasa?🤣🤣
Sasa njoo mtaani uone kulivyo kutamu.
Watoto wako walikuwa wanajiona cake, sasa hofu imewatanda.
Nenda sasa kakutane na jeuri kama yako kwenye madilisha ya NSSF.
Sitaki kusikie ukisema tusameheane tulipokosea. Pambana na hali yako.
Nikikutana na wewe ntakuwa nakucheka kwa mujibu wa Sheria🤣🤣🤣
Inaitwa Tii Uzee bila Shuruti
==
Februari 25, 2025, ACP Charles Mafwele alitoa taarifa kama Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, hali iliyozua maswali kuhusu CP Jumanne Muliro. Kutokuwepo kwa Muliro hadharani na Mafwele kuchukua nafasi hiyo kuliibua tetesi kadhaa kuhusu Muliro.
Soma: Faustine Mafwele aliyetuhumiwa kumteka Sativa kupandishwa cheo kuwa Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar?
Huyo aliyekaimu hana uzuri wowoteKama ni kweli ni habari njema
Alijawa na kiburi mno
Seniour officers❌️Huyu ni seniour officers wa polisi, hawana njaa hawa. But yes na agree hapo kwenye miscounducts zake
Thanks for the correctionSeniour officers❌️
Senior officer✅️
Sirro anajielewa na yuko serious hana ukujipendekeza km huyu,Watu mnajifariji sana, usidhani huyo akistaafu anakuwa mganga njaa mwenzako.
Huyo atafuata njia aliyopita Simon Nyakoro Sirro. Kama sio ubalozi atapewa hata uenyekiti wa bodi kubwa tu hapa nchini.