Afande Muliro atemwa? Je, ndio mwisho wa safari yake Kanda Maalum?

Afande Muliro atemwa? Je, ndio mwisho wa safari yake Kanda Maalum?

20241121_194417.jpg

Mwamba kushoto anapiganyeto nini? Kwasababu hayanaga aibu.

min -me PSL god K11 Chaliifrancisco Saint Anne Business intelligent Pdidy mrangi mshamba_hachekwi Intelligent businessman

Nyau de adriz
 
Umejipendekeza sana, umetugonga Virungu vya ugoko hadi ukawa unachekelea. Kiko wapi sasa?🤣🤣

Sasa njoo mtaani uone kulivyo kutamu.

Watoto wako walikuwa wanajiona cake, sasa hofu imewatanda.

Nenda sasa kakutane na jeuri kama yako kwenye madilisha ya NSSF.

Sitaki kusikie ukisema tusameheane tulipokosea. Pambana na hali yako.

Nikikutana na wewe ntakuwa nakucheka kwa mujibu wa Sheria🤣🤣🤣

Inaitwa Tii Uzee bila Shuruti

==

Februari 25, 2025, ACP Charles Mafwele alitoa taarifa kama Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, hali iliyozua maswali kuhusu CP Jumanne Muliro. Kutokuwepo kwa Muliro hadharani na Mafwele kuchukua nafasi hiyo kuliibua tetesi kadhaa kuhusu Muliro.

Soma: Faustine Mafwele aliyetuhumiwa kumteka Sativa kupandishwa cheo kuwa Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar?
Kuna shida mahali kwa watanzania. Muliro ni kamanda wa polisi. Akitekeleza majukumu yake si kosa, kosa mi pale asipotekeleza majukumu yake.
Akistaafu ni heshima kwake katekeleza majukumu vyema.
 
Umejipendekeza sana, umetugonga Virungu vya ugoko hadi ukawa unachekelea. Kiko wapi sasa?🤣🤣

Sasa njoo mtaani uone kulivyo kutamu.

Watoto wako walikuwa wanajiona cake, sasa hofu imewatanda.

Nenda sasa kakutane na jeuri kama yako kwenye madilisha ya NSSF.

Sitaki kusikie ukisema tusameheane tulipokosea. Pambana na hali yako.

Nikikutana na wewe ntakuwa nakucheka kwa mujibu wa Sheria🤣🤣🤣

Inaitwa Tii Uzee bila Shuruti

==

Februari 25, 2025, ACP Charles Mafwele alitoa taarifa kama Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, hali iliyozua maswali kuhusu CP Jumanne Muliro. Kutokuwepo kwa Muliro hadharani na Mafwele kuchukua nafasi hiyo kuliibua tetesi kadhaa kuhusu Muliro.

Soma: Faustine Mafwele aliyetuhumiwa kumteka Sativa kupandishwa cheo kuwa Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar?
yule wanyuma unaweza kusema wa muriro nyani ngabu wa JF
 
Nenda sasa kakutane na jeuri kama yako kwenye madilisha ya NSSF.

Sitaki kusikie ukisema tusameheane tulipokosea. Pambana na hali yako.

Nikikutana na wewe ntakuwa nakucheka kwa mujibu wa Sheria🤣🤣🤣
Wakati ule Ulimboka ametekwa na kuuumizwa sana kuna afande kutokea Mbezi huko kama sijakosea aliugua hoi bin taaban, kutokana sakata la Ulimboka akakwepa hospitali za serikali akaenda Aga Khan, madaktari wa Aga Khan nao wakacheza Pele wakamwambia tatizo lako haliwezi kutatuliwa hapa nenda Muhimbili, alipofika Muhimbili pamoja na kuwa taaban kauli ya kwanza ikawa "...tafadhali sana mimi siye niliyemteka Ulimboka, jamani samahani sana siyo mimi, sijui ni akina nani..."
Akili za maafande
 
Watu mnajifariji sana, usidhani huyo akistaafu anakuwa mganga njaa mwenzako.

Huyo atafuata njia aliyopita Simon Nyakoro Sirro. Kama sio ubalozi atapewa hata uenyekiti wa bodi kubwa tu hapa nchini.
Unalinganisha IGP na huyu anayestaafu akiwa SACP?

Hao ACP/SACPs wastaafu wapo wengi mtaani akina Gilles Muroto wa "Watapata tabu sana" etc

Zaidi labda aibukie siasani huko kama Zelothe Stephen!
 
Wabongo bana 😄

Sasa unafkiri huyo maisha yake ni kama yako?… mfuatilie na usubiri usikie/uone atakuwa nani

Ficha upumbavu wako 😊
 
Siwezi kabisa kuchukua kadi ya chama ambacho Wala sikipendi.
Hadi sasa mimi si mwanachama wa chama chochote, sijawahi kumiliki kadi ya chama chochote cha siasa.
Kaa na kadi ya hawa vibaka kuzugia tu , hata mimi wananijua kuwa ni mfuasi wao
 
Huyu mzee amakua akitoa taarifa kwa dharau utafikiri wanasokiliza ni wajinga...."ooh tulienda kumlinda Lissu"
 
Back
Top Bottom