figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kuna nini tena mkuu?Umejipendekeza sana, umetugonga Virungu vya ugoko hadi ukawa unachekelea. Kiko wapi sasa?🤣🤣
Sasa njoo mtaani uone kulivyo kutamu.
Watoto wako walikuwa wanajiona cake, sasa hofu imewatanda.
Nenda sasa kakutane na jeuri kama yako kwenye madilisha ya NSSF.
Sitaki kusikie ukisema tusameheane tulipokosea. Pambana na hali yako
Amestaafu huyo sura mbovu mwenzangu?Umejipendekeza sana, umetugonga Virungu vya ugoko hadi ukawa unachekelea. Kiko wapi sasa?🤣🤣
Sasa njoo mtaani uone kulivyo kutamu.
Watoto wako walikuwa wanajiona cake, sasa hofu imewatanda.
Nenda sasa kakutane na jeuri kama yako kwenye madilisha ya NSSF.
Sitaki kusikie ukisema tusameheane tulipokosea. Pambana na hali yako
Umejipendekeza sana, umetugonga Virungu vya ugoko hadi ukawa unachekelea. Kiko wapi sasa?🤣🤣

View attachment 3333421

Sitaki kusikie ukisema tusameheane tulipokosea. Pambana na hali yako.
Nikikutana na wewe ntakuwa nakucheka kwa mujibu wa Sheria🤣🤣🤣
Inaitwa Tii Uzee bila Shuruti
KafanyajeHivi ile usemi ya kuwa hakuna kitu au mtu atadumu milele bado upo?mana kuna watu bado hawaamini naona.
Umejipendekeza sana, umetugonga Virungu vya ugoko hadi ukawa unachekelea. Kiko wapi sasa?🤣🤣
View attachment 3333421
Sasa njoo mtaani uone kulivyo kutamu.
Watoto wako walikuwa wanajiona cake, sasa hofu imewatanda.
Nenda sasa kakutane na jeuri kama yako kwenye madilisha ya NSSF.
Sitaki kusikie ukisema tusameheane tulipokosea. Pambana na hali yako.
Nikikutana na wewe ntakuwa nakucheka kwa mujibu wa Sheria🤣🤣🤣
Inaitwa Tii U
Huyo si ni chalamila? Anamchungulia kijana wa dar muuza uduviPembeni huyo anachungulia nn?😳
au baloziHuyo si muda utasikia kawa mkuu wa mkoa au mwenyekit wa bodi au taasis flan ya serikali