The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Wewe ni mwehu 😂View attachment 3333899
Mwamba kushoto anapiganyeto nini? Kwasababu hayanaga aibu.
min -me PSL god K11 Chaliifrancisco Saint Anne mshamba_hachekwi
Nyau de adriz
Kaa na kadi ya hawa vibaka kuzugia tu , hata mimi wananijua kuwa ni mfuasi waoWewe ni mwehu 😂
Unataka tucomment utuponze tusidunde ardhi ya Mola hii
Kuna shida mahali kwa watanzania. Muliro ni kamanda wa polisi. Akitekeleza majukumu yake si kosa, kosa mi pale asipotekeleza majukumu yake.Umejipendekeza sana, umetugonga Virungu vya ugoko hadi ukawa unachekelea. Kiko wapi sasa?🤣🤣
Sasa njoo mtaani uone kulivyo kutamu.
Watoto wako walikuwa wanajiona cake, sasa hofu imewatanda.
Nenda sasa kakutane na jeuri kama yako kwenye madilisha ya NSSF.
Sitaki kusikie ukisema tusameheane tulipokosea. Pambana na hali yako.
Nikikutana na wewe ntakuwa nakucheka kwa mujibu wa Sheria🤣🤣🤣
Inaitwa Tii Uzee bila Shuruti
==
Februari 25, 2025, ACP Charles Mafwele alitoa taarifa kama Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, hali iliyozua maswali kuhusu CP Jumanne Muliro. Kutokuwepo kwa Muliro hadharani na Mafwele kuchukua nafasi hiyo kuliibua tetesi kadhaa kuhusu Muliro.
Soma: Faustine Mafwele aliyetuhumiwa kumteka Sativa kupandishwa cheo kuwa Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar?
Huwa wanaishi kwa vizinga tuUnajua kufilisika? Hawa kinachowafanya waishi sio mishahara bali rushwa, wizi na unyang'anyi.
yule wanyuma unaweza kusema wa muriro nyani ngabu wa JFUmejipendekeza sana, umetugonga Virungu vya ugoko hadi ukawa unachekelea. Kiko wapi sasa?🤣🤣
Sasa njoo mtaani uone kulivyo kutamu.
Watoto wako walikuwa wanajiona cake, sasa hofu imewatanda.
Nenda sasa kakutane na jeuri kama yako kwenye madilisha ya NSSF.
Sitaki kusikie ukisema tusameheane tulipokosea. Pambana na hali yako.
Nikikutana na wewe ntakuwa nakucheka kwa mujibu wa Sheria🤣🤣🤣
Inaitwa Tii Uzee bila Shuruti
==
Februari 25, 2025, ACP Charles Mafwele alitoa taarifa kama Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, hali iliyozua maswali kuhusu CP Jumanne Muliro. Kutokuwepo kwa Muliro hadharani na Mafwele kuchukua nafasi hiyo kuliibua tetesi kadhaa kuhusu Muliro.
Soma: Faustine Mafwele aliyetuhumiwa kumteka Sativa kupandishwa cheo kuwa Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar?
Tawi llingine laoAnaenda BAKWATA
Hahaha dahHuyo mngese atakua anasikilizia ukuni now Saint Anne
Kama ni kweli ni habari njema
Alijawa na kiburi mno
Wakati ule Ulimboka ametekwa na kuuumizwa sana kuna afande kutokea Mbezi huko kama sijakosea aliugua hoi bin taaban, kutokana sakata la Ulimboka akakwepa hospitali za serikali akaenda Aga Khan, madaktari wa Aga Khan nao wakacheza Pele wakamwambia tatizo lako haliwezi kutatuliwa hapa nenda Muhimbili, alipofika Muhimbili pamoja na kuwa taaban kauli ya kwanza ikawa "...tafadhali sana mimi siye niliyemteka Ulimboka, jamani samahani sana siyo mimi, sijui ni akina nani..."Nenda sasa kakutane na jeuri kama yako kwenye madilisha ya NSSF.
Sitaki kusikie ukisema tusameheane tulipokosea. Pambana na hali yako.
Nikikutana na wewe ntakuwa nakucheka kwa mujibu wa Sheria🤣🤣🤣
Unalinganisha IGP na huyu anayestaafu akiwa SACP?Watu mnajifariji sana, usidhani huyo akistaafu anakuwa mganga njaa mwenzako.
Huyo atafuata njia aliyopita Simon Nyakoro Sirro. Kama sio ubalozi atapewa hata uenyekiti wa bodi kubwa tu hapa nchini.
Kaa na kadi ya hawa vibaka kuzugia tu , hata mimi wananijua kuwa ni mfuasi wao
Nyie mnabwabwaja hapa ila mpo ng'ambo huko.Huyo mngese atakua anasikilizia ukuni now Saint Anne