Afande Muliro atemwa? Je, ndio mwisho wa safari yake Kanda Maalum?

Kwahiyo utamcheka ukiwa hapohapo Gairo unakimbiza mabasi kwa miguu ukilazimisha uwauzie abiria vitunguu?
 
Unataka watu wote ndoto mbaya.
Unasema Mafwele ndio anafaa kuwa Kamanda Kanda Maalum ya Dar.
 
S
Sioni chochote cha kupongezana kwenye huu uzi ....
 
Siwezi kabisa kuchukua kadi ya chama ambacho Wala sikipendi.
Hadi sasa mimi si mwanachama wa chama chochote, sijawahi kumiliki kadi ya chama chochote cha siasa.
Unazuga tu waone kama wamo kumbe Kanya boya😄
 
Aendae juu kipungu lakini hafikii Mbinguni na dua la kuku daima halimpati mwewe!! Pole sana utakufa nacho kijiba cha roho!
 
Nenda sasa kakutane na jeuri kama yako kwenye madilisha ya NSSF.

Sitaki kusikie ukisema tusameheane tulipokosea. Pambana na hali yako.

Nikikutana na wewe ntakuwa nakucheka kwa mujibu wa Sheria🤣🤣🤣
 
Watu mnajifariji sana, usidhani huyo akistaafu anakuwa mganga njaa mwenzako.

Huyo atafuata njia aliyopita Simon Nyakoro Sirro. Kama sio ubalozi atapewa hata uenyekiti wa bodi kubwa tu hapa nchini.
Sirro anajielewa na yuko serious hana ukujipendekeza km huyu,

Kuna yule Kova ni amechoka kachakaa balaa mpaka anafurahisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…