Afande Muliro atemwa? Je, ndio mwisho wa safari yake Kanda Maalum?

Yaani taarifa ya tarehe 25 Februari, 2025 ndiyo imepelekea kupata hisia kuwa Muliro katemwa au kastaafu?
 
Wabongo bana 😄

Sasa unafkiri huyo maisha yake ni kama yako?… mfuatilie na usubiri usikie/uone atakuwa nani

Ficha upumbavu wako 😊
Teh teh ...... unakujuwa uraiani au unakusikia

Ova
 
Mwache aje akanyage majivu ya moto aliouwasha mwenyewe.
 
Mwisho wa waajiriwa wote ni kustaafu. Na umri ukiwa umekuwa mkubwa maradhi hayako mbali.
 
Haya huyu Muliro tunaemuona sahivi siyo huyo Muliro uliemuanzishia uzi kuwa katemwa au ulikurupuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…