Afande Sele hafahamu kuwa miradi iliyotekelezwa na Rais Samia kipindi hiki ni mingi kuliko wakati mwingine wowote?

Mie Rais wangu ni Mzee Maduro, huyo wenu ni chenga tupu...tabula laza!...

Walamba asali mnajaribu kujipekenyua ila mnajua mnakula jasho la wavuja jasho masikini...litawarudia kwa aibu sana!

Aibu yenu milele...pathetic!
 
Akili hizi!!Unataka uteuzi,Kikwete alijenga UDOM,Mloganzira,hakukuwa na tozo,na mafisadi walipiga pesa,watumishi hewa walikuwa kibao,sasa hv yote hayo hakuna,
Mama anazindua vituo vya polisi vidogo kuliko darasa la chekechea!!
 

Acha kutumia kilevi mkuu
 
Wee Lukasi, ulitaka Nyerere ajenge fulaiova mwaka 1962! Au ulitaka Nyerere ajenge bwawa la Nyerere mwaka1970? Ni ujinga kulinganisha idadi ya miradi na kusema wakati mwingine wowote, unamaana miaka 40 ijayo hawataweza kujenga miradi mingi kuliko hii! Labda nikuulize umri wako ni miaka mingapi isije ukawa ni mwanafunzi wa kidato cha kwanza.
 
Miaka ijayo nao watajenga miradi kulingana na mahitaji ya wakati huo
 
Akili hizi!!Unataka uteuzi,Kikwete alijenga UDOM,Mloganzira,hakukuwa na tozo,na mafisadi walipiga pesa,watumishi hewa walikuwa kibao,sasa hv yote hayo hakuna,
Mama anazindua vituo vya polisi vidogo kuliko darasa la chekechea!!
Kwa hiyo unataka Tuwe na watumishi hewa pamoja na ufisadi, bila Shaka ulikuwa mnufaika wa hayo mambo
 
Mtoa mada nikizee kisichojielewa usikute ndio ichi kizee kinataka nafasi ili kiendelee kuiharibu nchi

#Wazee_Washaishiwa
 
Mtoa mada nikizee kisichojielewa usikute ndio ichi kizee kinataka nafasi ili kiendelee kuiharibu nchi

#Wazee_Washaishiwa
Acha maneno maneno, watanzania wameona kazi ya mh Rais na wameridhishwa na utendaji kazi wake na wanahitaji utumishi wake
 
Nipo mtaani naona uhalisia wa namna mh Rais wetu mpendwa anavyokubalika na watanzania
Utakuwa umezungukwa na Chawa au wanafiki wanakupaka mafuta kwa mgongo wa Chupa....

And in that token unamaanisha yule aliyefukuzwa kazi TRC na Afande Sele sio watanzania....

Pili hapa watu hawatafuti mchumba wala kuuza sura..., its results business sasa maisha juu, tozo vyakula vimepanda bei hakuna sera yoyote inayoonyesha the future is bright !!! Unategemea watu wakukubali kwa ajili ya Sura yako au Jina lako Zuri ?
 
Ulitaka Nani agharamie miradi yetu ya maendeleo ambayo kwa Sasa imekuwa msaada mkubwa kwa mwananchi baada ya huduma kusogezwa karibu ya mwananchi
 
Ulitaka Nani agharamie miradi yetu ya maendeleo ambayo kwa Sasa imekuwa msaada mkubwa kwa mwananchi baada ya hudumu kusogezwa karibu ya mwananchi
Una matatizo sio bure kwahio wanagharamia kwa gharama za maisha kupanda, vitu bei juu na bado kuongezewa mzigo wa kukamuliwa pesa zao wakati hawana income ya hata ku-sustain basic needs?!!!

Yaani huo ndio mwisho wa mawazo / fikra / ubunifu wa hii awamu ?!!!, Najiuliza na hizi resources zote kuna nothing to show for it..., je tungekuwa jangwani huko pasipo na resources zozote si ndio wangeshauri cannibalism !!
 
Hivi unazani hizo Rasilimali zinavunwa kirahisi tu Kama kutungua papai mtini? Inahitaji uwe na Teknolojia, fedha za kutosha, Rasilimali watu wenye ujuzi na uzoefu wa kutosha, na vitu vingine vingi tu, Tanzania inasonga vyema chini ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani, Nani kama Rais Samia? Kiukweli hayupo Kama yeye, upinzani utapata Taabu sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…