econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Shule zimejengwa na hata madarasa yameongezwa, huku niliko hayo nayoandika yamefanyika kwa pamoja
Ul
Nitajie shule moja iliyojengwa awamu hii. Tofautisha madarasa na ujenzi wa shule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shule zimejengwa na hata madarasa yameongezwa, huku niliko hayo nayoandika yamefanyika kwa pamoja
Ul
Sisi tunakushangaa wewe unaemshangaa Afande sele.Ndugu zangu Afande sele kawashangaza Sana mamilioni ya watanzania ambao wanaendelea kuhoji kuwa Ina maana Afande sele hajaona ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani alivyojenga na kuboresha secta ya Elimu hapa nchini? Watanzania wanahoji kuwa Afande sele amesahau Mara hii namna watanzania walivyokuwa wanahaha kulipa michango ya ujenzi wa vyumba vya madarasa Hadi wengine kukimbia Kaya zao?
Wanauliza je, hakuona mh Rais wetu mpendwa akitoa fedha kwa ajiri ya kwenda kujenga vyumba vya madarasa kila shule? hakuona miaka ya nyuma wengine wakienda muhula wa pili kuanza masomo yao kwa kuwa tu hakukuwa na madarasa ya kutosha? Je wangekuwaje sawa na waliolipoti mwezi wa kwanza?
Wanauliza Kwamba huyu msanii hajaona namna uamuzi wa serikali wakufuta Ada ya kidato cha tano na sita ilivyoweza kuwasaidia watoto wa wanyonge kupata Elimu bila shida? Wangapi walikuwa wanashindwa kuripoti shule kwa kukosa Ada? Je haoni Jambo hilo limeleta neema kwa familia masikini? Huyu msanii haoni kuwa hizo Ni faida za Tozo zetu?
Huyu msanii kwamba hajaona namna zahanati na vituo vya Afya vilivyosambazwa kila Kona ya nchi hii ndani ya muda mfupi wa Rais Samia? Kwamba hajaona wananchi walivyopunguziwa adha ya kusafiri umbali mrefu kutafuta huduma za Afya? Haoni suala Hilo limesaidia hata wamama wajawazito kujifungulia hospitalini na hivyo kupunguza hatari ya kutokea kwa vifo vya mama na mtoto?
Huyu msanii haoni namna huduma za maji zilivyosogezwa Hadi vijijini na hivyo kupunguza Ile kero ya watu kuamka alfajiri kutafuta maji toka kilometa kadhaa? Anadhani pesa hizo zimetoka wapi? Au alitaka watanzania waendelee kuhenyeka kufuata maji umbali mrefu?
Huyu msanii hajaona juhudi za serikali kuinua maisha ya mkulima kwa uamuzi wake wa kutoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini? Haoni namna ambavyo kwa Sasa mbolea inapatikana kwa Bei nafuu ya elfu 70 kwa DAP ambayo msimu uliopita iliuzwa kwa laki na 40? Haoni Jambo Hilo litachochea uzalishaji kuongezeka msimu ujao! Haoni kuwa uchumi wa mkulima unakwenda kuinuka hasa ukizingatia Ni secta iliyo ajiri kundi kubwa la watanzania na ndio pumzi ya watanzania wengi
Hapana siyo kuwa haoni Bali kaamua tu kujipa upofu na kufanya upotoshaji kwa umma ambao hata hivyo umempuuza tu, watanzania hawamshangai maana bado wanakumbuka kuwa amewahi kuvua nguo jukwaani,kwa hiyo wanaona anatatizo linalohitaji ushauri wa kisaokolojia
Watanzania wanaendelea kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa, maana wameona juhudi zake katika kuijenga nchi yetu na maendeleo yaliyopatikana na namna yalivyogusa maisha ya watanzania kwa kupunguza kero zilizokuwa kidonda ndugu kwao
Watanzania wanasema Tanzania itajengwa na sisi watanzania, hatuwezi tukakaa tu ili wenzetu walipe Kodi na Tozo huko kwao halafu sisi tuletewa huku, Hatutaweza Kuendelea na aibu hiyo, Sasa Tumeamua kuijenga Tanzania yetu na mh Rais wetu mpendwa Samia ameongoza njia hiyo na watanzania tunamuunga mkono
Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania walipo
Ndugu zangu Afande sele kawashangaza Sana mamilioni ya watanzania ambao wanaendelea kuhoji kuwa Ina maana Afande sele hajaona ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani alivyojenga na kuboresha secta ya Elimu hapa nchini? Watanzania wanahoji kuwa Afande sele amesahau Mara hii namna watanzania walivyokuwa wanahaha kulipa michango ya ujenzi wa vyumba vya madarasa Hadi wengine kukimbia Kaya zao?
Wanauliza je, hakuona mh Rais wetu mpendwa akitoa fedha kwa ajiri ya kwenda kujenga vyumba vya madarasa kila shule? hakuona miaka ya nyuma wengine wakienda muhula wa pili kuanza masomo yao kwa kuwa tu hakukuwa na madarasa ya kutosha? Je wangekuwaje sawa na waliolipoti mwezi wa kwanza?
Wanauliza Kwamba huyu msanii hajaona namna uamuzi wa serikali wakufuta Ada ya kidato cha tano na sita ilivyoweza kuwasaidia watoto wa wanyonge kupata Elimu bila shida? Wangapi walikuwa wanashindwa kuripoti shule kwa kukosa Ada? Je haoni Jambo hilo limeleta neema kwa familia masikini? Huyu msanii haoni kuwa hizo Ni faida za Tozo zetu?
Huyu msanii kwamba hajaona namna zahanati na vituo vya Afya vilivyosambazwa kila Kona ya nchi hii ndani ya muda mfupi wa Rais Samia? Kwamba hajaona wananchi walivyopunguziwa adha ya kusafiri umbali mrefu kutafuta huduma za Afya? Haoni suala Hilo limesaidia hata wamama wajawazito kujifungulia hospitalini na hivyo kupunguza hatari ya kutokea kwa vifo vya mama na mtoto?
Huyu msanii haoni namna huduma za maji zilivyosogezwa Hadi vijijini na hivyo kupunguza Ile kero ya watu kuamka alfajiri kutafuta maji toka kilometa kadhaa? Anadhani pesa hizo zimetoka wapi? Au alitaka watanzania waendelee kuhenyeka kufuata maji umbali mrefu?
Huyu msanii hajaona juhudi za serikali kuinua maisha ya mkulima kwa uamuzi wake wa kutoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini? Haoni namna ambavyo kwa Sasa mbolea inapatikana kwa Bei nafuu ya elfu 70 kwa DAP ambayo msimu uliopita iliuzwa kwa laki na 40? Haoni Jambo Hilo litachochea uzalishaji kuongezeka msimu ujao! Haoni kuwa uchumi wa mkulima unakwenda kuinuka hasa ukizingatia Ni secta iliyo ajiri kundi kubwa la watanzania na ndio pumzi ya watanzania wengi
Hapana siyo kuwa haoni Bali kaamua tu kujipa upofu na kufanya upotoshaji kwa umma ambao hata hivyo umempuuza tu, watanzania hawamshangai maana bado wanakumbuka kuwa amewahi kuvua nguo jukwaani,kwa hiyo wanaona anatatizo linalohitaji ushauri wa kisaokolojia
Watanzania wanaendelea kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa, maana wameona juhudi zake katika kuijenga nchi yetu na maendeleo yaliyopatikana na namna yalivyogusa maisha ya watanzania kwa kupunguza kero zilizokuwa kidonda ndugu kwao
Watanzania wanasema Tanzania itajengwa na sisi watanzania, hatuwezi tukakaa tu ili wenzetu walipe Kodi na Tozo huko kwao halafu sisi tuletewa huku, Hatutaweza Kuendelea na aibu hiyo, Sasa Tumeamua kuijenga Tanzania yetu na mh Rais wetu mpendwa Samia ameongoza njia hiyo na watanzania tunamuunga mkono
Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania walipo
Tutajitegemea kwa kadri ya uwezo wetu na pale juhudi zetu zitakapoishia Basi ndio tutatafuta namna ya kuunganisha nguvu zetu kwa kuomba mikopo ya mashariti nafuu na yasiyo ya kuhatarisha Uhuru na usalama wetu na Rasilimali zetu, tutakopa kwa Yale tunayaona nguvu zetu pekee hazitamaliza kwa haraka, Hatutakopa kwa kila kitu hata kwa Yale tunayoweza kuyafanya wenyewe kwa nguvu na jasho letu,Haitokuja kutokea unachokiota. Sisi tunakipato Gani wewe cha kuweza kujitegemea? Chukua pato la mwaka la makusanyo alafu toa kiasi cha deni tunalolipa hao mabeberu achilia mbali madeni ya ndani ambayo tunaendelea kuvumiliana, toa pia posho na mishahara ya wafanyakazi ndio uje useme tutawezaje kujitegemea. Kama n kujitegemea tulishakosea tokea enzi za Nyerere na Mwinyi.
Siyo kelele Bali ukweli wa mambo toka kwa watanzania
Tutajitegemea kwa kadri ya uwezo wetu na pale juhudi zetu zitakapoishia Basi ndio tutatafuta namna ya kuunganisha nguvu zetu kwa kuomba mikopo ya mashariti nafuu na yasiyo ya kuhatarisha Uhuru na usalama wetu na Rasilimali zetu, tutakopa kwa Yale tunayaona nguvu zetu pekee hazitamaliza kwa haraka, Hatutakopa kwa kila kitu hata kwa Yale tunayoweza kuyafanya wenyewe kwa nguvu na jasho letu,
lazima tujibane kidogo kuijenga nchi yetu, Hii ndio njia waliyopita wenzetu pia, njia ya maendeleo siyo ya mkato, inahitaji kujitoa na kujitolea, inahitaji uvumilivu ,inahitaji juhudi, inahitaji uzalendo, inahitaji umoja na mshikamano, watanzania Hatuna budi kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa katika mapambano ya kuijenga nchi yetu
Punguza ujinga basi au na wewe ni miongo mwa walamba asaliNi tozo hizo zilizopelekea kusogezwa kwa huduma karibu ya mwananchi, watanzania wameridhishwa na namna miradi ilivyotekelezwa kutokana na tozo, kila mtu anajivunia mafanikio tuliyoyapata kwa kuwa tunajuwa Ni nguvu zetu
Ujenzi wa madarasa hauji kuisha maana hata sisi tunaongezeka kiidadi mwaka Hadi mwaka, hivyo Mahitaji lazima nayo yaongezeke tu
Wananchi wamepongezwa na nimekuwa nikiwapongeza Sana kwa moyo wao wa uzalendo wa kuamua kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa katika juhudi hizi za kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe,Tozo muwatoze wananchi halafu sifa mnampa mama Samiah. Ulitakiwa kwanza uwasifu wananchi ndio umsifie mama Samiah.
Pinga kwa hoja acha maneno matupu
Tunataka tujitegemee, hatutaki tukope kwa kila kitu hata vilivyo ndani ya uwezo wetu, lazima Sasa tuanze kujibana ili kuijenga nchi yetu kupitia vipato vyetu, Hatutaki mzigo wa madeni uwe mkubwa kuliko mabega yetu
Iliisha kwa kumaliza kero Ile ya wanafunzi wengine kwenda muhula wa pili unapoanza, lakini saiz hata kabla wanafunzi hawajachaguliwa tayari serikali imeshaweka mkakati wa kujenga vyumba karibu elfu nane ili wanafunzi wakute tayari yamekamilika kuliko zamani ambavyo ulikuwa ukiona viongozi wakikimbizana na wananchi mwezi December Hadi January kujenga madarasa Hadi mengine kujengwa chini ya viwango kutokana na uharakaLakini serikali ilitangaza changamoto imeisha.
Kwamba walikuwa wanaishi huko watu saiv madarasa ndo wanasoma na huko nyuma walikuwa hawasomi? Umetumwa weweVilijengwa vyumba Ila kwa Sasa yamejengwa madarasa yaliyokamilika kwa kila kitu na kupakwa rangi
Yote yalishatolewa kitakwimu na serikali Kama ambavyo hata majuzi ukisikia vituo vya Afya 234 vimejengwa, Takwimu zipo ukihitaji kuzipata maana serikali imekuwa wazi SanaKuna wakati mnatulazimisha tupigwe ban bila sababu.
Unaweza kuchambua zahanati, shule, madarasa, miradi ya maji iliyojengwa awamu ya Tano na sita kabla ya tozo? Kisha uweke hapa tozo zimeanza kukusanya lini, kiasi Gani kimepatikana, na uweke madarasa, shule, zahanati na miradi ya maji iliyojengwa Kwa pesa za tozo?
Kumbuka tumeendelea kukopa na kupokea misaada tukiambiwa hizo pesa zinafanya miradi hiyo hiyo.
Waziri mwenyewe alijipiga kifua kuja kutufafanulia tozo, umeshuhudia mwenyewe kilichotokea na kinachoendelea Hadi chama na serikali wanatafutana. Sie wananchi sio wajinga kiasi hicho.
Kodi inakazi ganiNi tozo hizo zilizopelekea kusogezwa kwa huduma karibu ya mwananchi, watanzania wameridhishwa na namna miradi ilivyotekelezwa kutokana na tozo, kila mtu anajivunia mafanikio tuliyoyapata kwa kuwa tunajuwa Ni nguvu zetu
Wananchi wamepongezwa na nimekuwa nikiwapongeza Sana kwa moyo wao wa uzalendo wa kuamua kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa katika juhudi hizi za kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe,
Nimekuwa nikimpongeza mh Rais wetu mpendwa kwa kuwa amefanya kazi ya kutukuka katika kuhakikisha kuwa fedha hizi na kila Senti inayopatikana inatumika vizuri na kuwa hakuna wa kuichezea hovyo na akibainika mtu kagusa anawajibishwa kwa haraka
Lakini pia mh Rais wetu mpendwa nampongeza kwa kuchagua na kuongoza njia hii aliyoichagua kwani ndio njia waliyopita wenzetu waliyopiga hatua kimaendeleo, njia inayotutaka kuwa wazalendo kujitolea kwa ajiri ya nchi yetu na kujivunia kwa pamoja mafanikio yatakayopatikana
Yote yalishatolewa kitakwimu na serikali Kama ambavyo hata majuzi ukisikia vituo vya Afya 234 vimejengwa, Takwimu zipo ukihitaji kuzipata maana serikali imekuwa wazi Sana