Afande Sele: Magufuli alikopa na kufanya makubwa, sasa hivi wanakopa na hakuna linaloonekana

==

Code:
[MEDIA=twitter]1568193533017833478[/MEDIA]
 
Sema watu wengi ni wajinga, wanadhani ukikopa hakuna kurejesha au Burundi ndiyo watarejesha hiyo mikopo ya Jiwe.
 
Mama ana nia njema na hiyo mikopo yake, shida ni wanatekeleza kauli yake,ya kula kwa kujipimia.
Hivi kuna mahali popote katika vocobulary yako ambapo anaweza akawa held responsible?

Mambo yakienda sawa hata kama hatambui anasifiwa yakienda kombo sio yeye bali wanaotekeleza ?!!! Last time I checked ana uwezo wa kuwawajibisha wote hao na sio kuhangaika na kuwaparura wanaosema vinginevyo...
 
Wewe acha ujinga huwa hamtaki kuambiwa ukweli! Bibi yenu ashashindwa mmebakia kuongea ujinga!
 
Kupe
 
Hawa matahira wanashindwa kujua kuwa mikopo aliyokuwa anakopa magufuli Ni ya riba kubwa na ya muda mfupi, yule mzee alichokosea alikuwa sio mkweli,aliwadanganya haya matahira yakahamini kweli miradi Inajengwa kwa fedha za ndani
Alikopa wapi na wapi na shilingi ngapi kwa riba ya asilimia ngapi. Toa tu mfano vinginevyo huo ni uongo mkubwa.
 
Sele anataka aone Zege linamiminwa ndio i click! 🤣

Mama anatakiwa arudishe kile kitengo cha Propaganda cha Mwendazake, Watu walllishwa sana Propaganda mpaka wamekuwa Mateja.
Lini alikiondoa? Zimefunguliwa mpaka taasisi za kuboost mawazi ya mama! Jana nimeona sijui kitu kinaitwa umoja wa watoa huduma ya electronic sijui wanasuport tozo kuwa zimeleta tija kwa nchi
 
Miaka 2 kipi kikubwa tunaweza sema amekifanya ambacho ata mtu wa kijinini kabisa atamsifia.niambie 2 tu.
 
Hawa matahira wanashindwa kujua kuwa mikopo aliyokuwa anakopa magufuli Ni ya riba kubwa na ya muda mfupi, yule mzee alichokosea alikuwa sio mkweli,aliwadanganya haya matahira yakahamini kweli miradi Inajengwa kwa fedha za ndani
Sisi matahira hajatudanganya.shida ninyi wenye akili kubwa ndio mnajitekenya na kucheka wenyewe.mikopo+Hela za covid+Hela za zoto alafu hakuna chochote kinachoonekana.hebu niambie mama yenu tangu ameingia kunakitu Gani ambacho hata watu wa vijijini watamsifu navyo.
 
Sema watu wengi ni wajinga, wanadhani ukikopa hakuna kurejesha au Burundi ndiyo watarejesha hiyo mikopo ya Jiwe
Kwa hyo kipindi Cha magu kulikuwa hakuna kulejesha mikopo iliyokopwa kipindi Cha awamu za nyuma? Acha kutuona wa tz niwa 1950.madeni yapo tangu awamu ya kwanza .amekopa na vitu tumeviona na alikuwa analipa mikopo ya nyuma.huyu anakopa+Hela za covid+Hela za tozo Kila mahala lakini hakuna jipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…