Afande Sele: Magufuli alikopa na kufanya makubwa, sasa hivi wanakopa na hakuna linaloonekana

Sele anataka aone Zege linamiminwa ndio i click! 🤣

Mama anatakiwa arudishe kile kitengo cha Propaganda cha Mwendazake, Watu walllishwa sana Propaganda mpaka wamekuwa Mateja.
Mbumbumbu
 
Sele anataka aone Zege linamiminwa ndio i click! 🤣

Mama anatakiwa arudishe kile kitengo cha Propaganda cha Mwendazake, Watu walllishwa sana Propaganda mpaka wamekuwa Mateja.
Kwamba kina Makamba kuzungukuza huku wakigawa Majiko ya Gesi na Bungeni kusimamisha shughuli ili kusifia Royal Tour unaita nini kama sio Propaganda ?!!!

Kila mgeni aliyekuja baada ya ile tamthiliya alihusishwa na Royal Tour..., If that's not Propaganda tell me what Is !!!, Kina Afande Sele na wengine tunao-criticize ndio tunaitakia mema nchi bila kusema hiki hapana walamba asali wanaweza kuona ni sawa...
 
Hawa matahira wanashindwa kujua kuwa mikopo aliyokuwa anakopa magufuli Ni ya riba kubwa na ya muda mfupi, yule mzee alichokosea alikuwa sio mkweli,aliwadanganya haya matahira yakahamini kweli miradi Inajengwa kwa fedha za ndani
Hili hata mimi nimekuwq nikilisema watu hawakubali. Rais Samia anapitia changamot9 nyingi sana. Ni ukubwa tu unamfanya astahimili.
 
Sawa, kwaiyo Iyo mikopo imeanza kulipwa baada tu ya mama kuingia madarakani????

Kama sivyo, Jpm aliwezaje kuendesha nchi bila tozo huku akiendelea kulipa mikopo yake ya kibiashara yenye riba kubwa?????

Juhudi kubwa ambazo Jpm aliwekeza ni ukusanyaji wa kodi na sote tuliona ambavyo hakukuwa na masihara kwenye hilo,

Sasa hivi ulipaji wa kodi umeshuka wafanyabiashara wengi hawalipi kodi.
 
Hawa matahira wanashindwa kujua kuwa mikopo aliyokuwa anakopa magufuli Ni ya riba kubwa na ya muda mfupi, yule mzee alichokosea alikuwa sio mkweli,aliwadanganya haya matahira yakahamini kweli miradi Inajengwa kwa fedha za ndani
Hata Kiswahili hujui. Chuki zimezidisha ujinga na matusi. Eti "yakahamini".
 


Serikali inabidi itoe elimu zaidi
Mikopo mfano imejenga shule nyingi na hospital kila mahali

Lakini Afende sele aelewe mikopo ni madeni sasa yanalipwaje. Mkopo mfano ya sehemu y kwanza ya reli Magu alikopa kwa riba ya juu sana 8% kwa miaka 6 mkopo wa $1.5 B mi kama billion 600 kwa kila mwaka je pesa hizi za kulipa zinatoka wapi? Lakini reli bado haijaisha hizo pesa zinatoka wapi?. Pesa za bwawa zitoke wapi.

Utaratibu wa kutaifisha pesa za wafanyabiashara, kuteka matajiri na kuchukuwa pesa za maduka ya pesa haziwezi kuwa endelezi badala yake inabidi kuwe na mifumo mizuri.
 
Jamaa ana akili kuzidi serikali yote ya ccm
 
Ukumbuki walikuwa wanapora fedha za watu kwenye account zao na bado haikutosha wakaunda sheria ya plea bargain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…