dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
laana ya CCM inatafuna taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli Waafrika wengi tupo kwenye lile kundi la kutumia akili zetu kwa asilimia moja! (1℅)Mimi nikiona mtu yupo deep sana kiimana namkalia mbali. Afrika wamekuwa wajinga mno na haya mambo ya kiimani.
Sharti awe hajatapeli sadaka ya madhabahuni na hila nyingine....mungu hadhihakiwi.Ataenda mbinguni moja kwa moja huyu
'Kweri' mura... 😁Arale
Si kweli bwana wewe hukumbuki wale wanaume walifukiwa mgodini for more than 40days? Walipopelewa karatasi wakaomba wapewe fegi na kibariti?Mwanamke ni siku saba ndo anaaga dunia kwa sababu mwili wake una matiti(maziwa)yanasaidia akae kwa huo muda/siku akiwa mzima bila kula[emoji2]
Mwanaume siku tano tu chali inakuwa kwa heri mwalim[emoji2]
Habari za asubuhi mpendwa luckyline
@Rumaiya Bibie upo asubuhi njemaAisee