Afariki akiwa kwenye mfungo wa siku 30, aliahidi kufufuka Desemba 8

Abdel Raphael (42) Mkazi wa Mtaa wa Uwanja halmashauri ya mji Geita amekutwa amefariki ndani kwake akiwa kwenye mfungo wa siku 30 akitarajia kufufuka Desemba 8.

Mmoja wa waumini waliokuwa wakishiriki ibada ya pamoja na marehemu ambaye alikuwa mchungaji wao anasema marehemu aliwaaminisha kuwa ifikapo Desemba 8 atafufuka lakini kufikia siku hiyo akawa amefariki na mwili wake kuharibika.

"Tulikuwa tumefunga tangu tarehe 28 mwezi wa 11 ilivyofika tarehe 2, kwenye chumba chake cha maombi kumcheki alikuwa mzima, tarehe 3 kwenda kumwangalia ile hali ilitutisha tukakuta ameanguka kitandani, yupo kifua wazi, yupo kwenye bukta, ikabidi tumkusanye miguu, tumuoshe vizuri. Tukamfunika mdomo, macho vizuri, tukamlaza vizuri, halafu tukaenda kutoa taarifa katika uongozi wa mtaa kwa ajili ya taratibu zinazofuata", amesema Jumanne Zuberi ambaye ni muumini mwenzake.

View attachment 2447111

Chanzo: East Africa Radio
Pengine alimaanisha kufufukia mbinguni, na labda imetokea kweli. Wafuasi wake hawakumuelewa.
 
Hivi mwanaume asipokila lazima afe baada ya siku ngapi?
Na mwanamke asipokula lazima afe baada ya siku ngapi?

Yaani walivyomkuta yupo hio ilibidi wampe chakula pale pale angeamka.

Wenzake ni wajanja walikuwa wakitoka kwenye maombi wanapiga msosi.

Biblia imesema tutafufuka siku ya mwisho sasa inakuwaje yeye afufuke trh 8 mbona leo trh 17?
Kuna wajamaa washawahi kuletwa wana siku 13 ziwani bila msosi na walikuwa hai
 
Abdel Raphael (42) Mkazi wa Mtaa wa Uwanja halmashauri ya mji Geita amekutwa amefariki ndani kwake akiwa kwenye mfungo wa siku 30 akitarajia kufufuka Desemba 8.

Mmoja wa waumini waliokuwa wakishiriki ibada ya pamoja na marehemu ambaye alikuwa mchungaji wao anasema marehemu aliwaaminisha kuwa ifikapo Desemba 8 atafufuka lakini kufikia siku hiyo akawa amefariki na mwili wake kuharibika.

"Tulikuwa tumefunga tangu tarehe 28 mwezi wa 11 ilivyofika tarehe 2, kwenye chumba chake cha maombi kumcheki alikuwa mzima, tarehe 3 kwenda kumwangalia ile hali ilitutisha tukakuta ameanguka kitandani, yupo kifua wazi, yupo kwenye bukta, ikabidi tumkusanye miguu, tumuoshe vizuri. Tukamfunika mdomo, macho vizuri, tukamlaza vizuri, halafu tukaenda kutoa taarifa katika uongozi wa mtaa kwa ajili ya taratibu zinazofuata", amesema Jumanne Zuberi ambaye ni muumini mwenzake.

View attachment 2447111

Chanzo: East Africa Radio

Mama azika mwanae wa wiki mbili akiwa hai || Mchungaji afariki akiwa kwenye maombi ya kufunga.​

Abdel Raphael (42) Mkazi wa Mtaa wa Uwanja halmashauri ya mji Geita amekutwa amefariki ndani kwake akiwa kwenye mfungo wa siku 30 akitarajia kufufuka Desemba 8.

Mmoja wa waumini waliokuwa wakishiriki ibada ya pamoja na marehemu ambaye alikuwa mchungaji wao anasema marehemu aliwaaminisha kuwa ifikapo Desemba 8 atafufuka lakini kufikia siku hiyo akawa amefariki na mwili wake kuharibika.

"Tulikuwa tumefunga tangu tarehe 28 mwezi wa 11 ilivyofika tarehe 2, kwenye chumba chake cha maombi kumcheki alikuwa mzima, tarehe 3 kwenda kumwangalia ile hali ilitutisha tukakuta ameanguka kitandani, yupo kifua wazi, yupo kwenye bukta, ikabidi tumkusanye miguu, tumuoshe vizuri. Tukamfunika mdomo, macho vizuri, tukamlaza vizuri, halafu tukaenda kutoa taarifa katika uongozi wa mtaa kwa ajili ya taratibu zinazofuata", amesema Jumanne Zuberi ambaye ni muumini mwenzake.

View attachment 2447111

Chanzo: East Africa Radio
Waumini walioshuhudia kifo chake inapaswa wachukuliwe hatua za kisheria. Kwanini walipoona ameanza kunyongea wasimpe chakula au nao walifungwa ufahamu?
 
Back
Top Bottom