Afariki akiwa kwenye mfungo wa siku 30, aliahidi kufufuka Desemba 8

watu ni wajinga kwakweli nilienda kanisa fulani watu et wanafunga siku saba kavu yaani ni walikuwa na hali mbaya mpaka wengine ni kama akili.zimewaruka
bahati nzuri sikusikia kesi ya kifo ila hali zilikuwa mbaya
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣😎 dini yawapenda miujiza hii.
 
Afadhali kafa yeye steering na picha linaishia hapo hapo kende malamu.
 
Mimi nikiona mtu yupo deep sana kiimana namkalia mbali. Afrika wamekuwa wajinga mno na haya mambo ya kiimani.
Nilihudhuria harusi moja , kabla ya sherehe tulikuwa na pilika za maandalizi huku tumechanganyika wanaume na wanawake. Mara ghafla likawekwa pazia eti kutengenisha wanaume na wanawake huku bibi harusi na bwana harusi wamekaa pamoja. Baada ya harusi watu wakachanganyika tena wanapiga stori. Wale ndugu zangu niliwachana live, waache huu upuuzi. Watu mmekuja mmechanganyika huko kwenye magari binafsi, daladala, siku za vikao mko pamoja halafu ghafla mnaweka pazia, ili iweje? Huko makazini mnachanganyika , misibani etc . Nadhani hawatarudia tena huu ujinga
 
Kuna andiko lolote linasema afanye hivyo au amejizulia tu mwenyewe?

Kama hakuna andiko linalotoa hayo maelekezo basi amejiua mwenyewe na njaa
Hata kama lingekuwepo unatakiwa utumie akili. Hivi itakuwaje nikikaa siku 30 bila kula? Mungu aliyeumba vyakula hakuwa mjinga. Wewe utoke tu huko ufunge siku sijui 20, huko ni kujiua kwa kukusudia
 
Lakini kwa yule aliye na imani ya kutosha, kifo sio kitu cha kuogopa, kifo kinaogopwa na wenye dhambi.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Haya ndio matatizo ta afya ya akili sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…