Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

Hawa siku hizi wamejua kukanusha maneno ya mitandaoni
Ila haya ya kutesa watu kila leo mbona huwa hawaliongelei

Nijuavyo mimi Jeshini kuna nidhamu ya hali ya juu ila hawa wanaoona magwanda ndio vyeti vya kusulubu watu waache hii tabia na ikemewe kutoka juu
 
Ndio shida ya mamlaka yasiyothibitiwa.
Karne ya 21 taasisi za kijeshi zina mentality za 1800.
Nahisi Polisi, Jeshi hakuna regulator.
 
Katika majeshi yote ya Tanzania, hao jamaa ndo bado wapo nyuma sana kifikla! Hawajiongezi hata kwenda shule kwa wingi hayo ni madhara ya upeo mdogo wa kufikili.
 
Sijui kwa nini siwapendi Hawa viumbe,,yaani hata mwanaume akiwa handsome, educated,mstaarabu au ana mafanikio kiasi gani sitaki kabisa mazoeo nao....sijui huwa wanajionaga Nani yaani
Pole mpenzi...usiwachukie walinzi wa nchi yetu.
 
Ndo muache dharau za kishenzi sasa! Halafu mwanajeshi hawaibi! Wanachukua![emoji3][emoji3]
Bro ebu punguza ulimbukeni kwenye vitu serious, au bado una utoto mwingi haujakutoka!! Mtu yoyote anaechukua kitu Cha mwenzia billa kuomba huo ni wizi na unyanganyi!!
 
Dah huyo askari alimejiharibia kila kitu....siwezi kumsahau rafiki yangu afande abuu aliuwa mtu huko misungwi mpaka leo yuko magereza..
 
Raia mtaongea Mambo mengi Sana, lakini ieleweke Mwanajeshi siyo Raia Kama wewe!
Hivi wwe hujui kua kuna raia ambao ni Majasusi, ukiingia kwenye angaa zake ukaleta za kuleta kisa wwe Mwanajeshi anaweza akaamaliza familia yako yote alafu akabaki anakuangalia Sasa utaishi vp Maisha yako bila familia yako!!
 
Mm nawakubali watu wa Nachingwea, kila siku kulikuwa na ngumi kati ya raia na wanajeshi kumbuka Nachingwea kuna kambi nne hapo mjini, wananchi wameonewa sana ikabidi nao waunde task force, wamepgana sana mpaka serikali wakaingilia kati, sasa hivi full kuheshimiana hakuna cha unanijua mm nan wala nn
 
Mkuu mafunzo ya askari jeshi ni kuua.
tuanzie hapo kwenye mafunzo ya kuua ya kujiuliza huwa wanafundishwa kuua nani,wakati gani na kwa nini anafikia hadi hatua ya kuua??

kutoa roho ya mtu sio jambo jepesi kuua mtu sio kama kichinja kuku unajichagulia tu leo nitaua yule pale mwekundu
 
Back
Top Bottom