Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Gari imemkanyaga au?Mtu mmoja amefariki dunia akiwa kwenye harakati za kugombea daladala alasiri hii ya leo.
Tayari polisi wamefika na jitihada zinafanyika za kuuupeleka mwili wa marehemu Mwananyamala Hospitali kwa uhifadhi na uchunguzi zaidi.
Marehemu hakuwa na kitu chochote cha kumtambulisha
Kale ka baby walker kanatu save sanaHalafu baadae utaona uzi wa MATAGA ukisema:"Samia aipaisha Tanzania katika maendeleo ya uchumi wa kati"😁😁😁
uchumi wa kati. watu Dar usafiri ni mgumu kuliko miaka ya 80Mtu mmoja amefariki dunia akiwa kwenye harakati za kugombea daladala alasiri hii ya leo.
Tayari polisi wamefika na jitihada zinafanyika za kuuupeleka mwili wa marehemu Mwananyamala Hospitali kwa uhifadhi na uchunguzi zaidi.
Marehemu hakuwa na kitu chochote cha kumtambulisha
Iyltakuwa ni hukohuko tu.. wanapoishi wanyonge wa ccmNi gari za wapi mbagala au G/mboto