TANZIA Afariki dunia akigombea usafiri kituo cha daladala Makumbusho

TANZIA Afariki dunia akigombea usafiri kituo cha daladala Makumbusho

Apumzike kwa Aman aseee so Sad!. Hapo kavuka barabara vizuri asigongwe halafu anafia mlangoni😔
Uhai wa mwanadamu ni fumbo, kikubwa tuupokee ukweli wa kwamba muda wowote unaweza kuondoka bila kujalisha U wapi na unafanya nini.
 
Mtu mmoja amefariki dunia akiwa kwenye harakati za kugombea daladala alasiri hii ya leo.

Tayari polisi wamefika na jitihada zinafanyika za kuuupeleka mwili wa marehemu Mwananyamala Hospitali kwa uhifadhi na uchunguzi zaidi.

Marehemu hakuwa na kitu chochote cha kumtambulisha
uchumi wa kati. watu Dar usafiri ni mgumu kuliko miaka ya 80
 
Back
Top Bottom