TANZIA Afariki dunia akigombea usafiri kituo cha daladala Makumbusho

TANZIA Afariki dunia akigombea usafiri kituo cha daladala Makumbusho

Jinsia?makadirio ya umri?

Hivi tatizo mabasi huwa hayatoshi au nini? Kwanini wasitoe leseni nyingi watu wamwage mabasi?

Tuliambiwa Mwendokasi ikikamilika shida ya usafiri Dar itakuwa historia,kasubiri sasa hio mwendokasi uone utakaa muda gani kuisubiri tu hio basi yenyewe
Ccm ni laana kwa hii nchi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Npoo hapa namshuudia akipakizwa kwenye defender
Tujifunze kitu hakuna mtu mwenye warranty na maisha haya popote kamba inakata,huyu marehemu alikuwa na mipango yake kichwani kama sisi,alikuwa anaiwazia familia yake na kuipenda kama sisi na anae mke au mzazi angetamani aendelee kuwepo but wakati umefika ameitika.

Apumzike kwa amani jamaa,inasikitisha sana.
 
Mtu mmoja amefariki dunia akiwa kwenye harakati za kugombea daladala alasiri hii ya leo.

Tayari polisi wamefika na jitihada zinafanyika za kuuupeleka mwili wa marehemu Mwananyamala Hospitali kwa uhifadhi na uchunguzi zaidi.

Marehemu hakuwa na kitu chochote cha kumtambulisha
we jamaa kumbe na wewe unaishi Dar,najuaga unakaa Mbeya
 
Apumzike kwa Aman aseee so Sad!. Hapo kavuka barabara vizuri asigongwe halafu anafia mlangoni[emoji17]
Uhai wa mwanadamu ni fumbo, kikubwa tuupokee ukweli wa kwamba muda wowote unaweza kuondoka bila kujalisha U wapi na unafanya nini.
Ni kweli ndugu yangu
 
Halafu baadae utaona uzi wa MATAGA ukisema:"Samia aipaisha Tanzania katika maendeleo ya uchumi wa kati"[emoji16][emoji16][emoji16]
Kama hulioni hilo ,Basi wewe Ni mpofu wa roho,Samia ni jembe kweli kweli.

4052b00499a8a01d9fbb.jpg
 
Apumzike kwa Aman aseee so Sad!. Hapo kavuka barabara vizuri asigongwe halafu anafia mlangoni[emoji17]
Uhai wa mwanadamu ni fumbo, kikubwa tuupokee ukweli wa kwamba muda wowote unaweza kuondoka bila kujalisha U wapi na unafanya nini.
Exactly!
 
Tujifunze kitu hakuna mtu mwenye warranty na maisha haya popote kamba inakata,huyu marehemu alikuwa na mipango yake kichwani kama sisi,alikuwa anaiwazia familia yake kama sisi anae mke au mzazi angetamani aendelee kuwepo but wakati umefika.

Apumzike kwa amani jamaa,inasikitisha sana.
Ndio hvyo mkuu wangu
 
Sielewi ni kivipi uchumi unatakiwa kutuokoa na kufa.

Baadaye kidogo tutaambiwa tuilaumu serikali kwakua we are not immortals.

Hatuna taarifa kamili hapa. Taarifa ni mtu kafa ila hatujui chanzo, hatuna historia ya mhanga, hatujui tukio lilianzia wapi ila ni rahisi kuilaumu serikali au siyo?

Siku hizi ukitaka likes iponde serikali kwa nguvu zote. Ukali wa maandiko utadetermine idadi ya likes.
 
Watu wanakanyagana sana huko kwenye kugombania kuingia kwenye gari!

Mida ya jioni pale ni bldy@f#k###n$$ kabisa

Poleni wafiwa

Ova
 
Mbowe au lissu ? Kwani hapa tunaongelea habari za wafu? Nyie wafuasi wa sukuma gang sijui chagga gang hamtapumua katika utawala huu.
Wewe mimi ninachotaka kukwambia na ambacho waliokuzunguka wanaona aibu kukwambia ni kwamba “wewe akili huna”,that's it!!!

Watu hapa wanasikitika mtu/binadamu kama wewe amekufa tena kifo ambacho hakuna aliyetarajia kutokea ktk mazingira hayo lakini wewe unathubutu kuingiza ujinga wa siasa zisizokuwa na kichwa wala miguu upo sawa wewe???
 
Back
Top Bottom