digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Sio kwamba wewe ndo huna akili hata robo,angalia niliyemkwote na baadae na wewe ukaingilia bila kufahamu Nani alikuwa anajibiwa.Wewe mimi ninachotaka kukwambia na ambacho waliokuzunguka wanaona aibu kukwambia ni kwamba “wewe akili huna”.
Watu hapa wanasikitika mtu/binadamu kama wewe amekufa tena kifo ambacho hakuna aliyetarajia kutokea ktk mazingira hayo lakini wewe unathubutu kuingiza ujinga wa siasa zisizokuwa na kichwa wala miguu upo sawa wewe???
Waambie ndugu zako wakupe uangalizi wa Hali ya juu,muda si mrefu utaokota makopo