TANZIA Afariki dunia akigombea usafiri kituo cha daladala Makumbusho

TANZIA Afariki dunia akigombea usafiri kituo cha daladala Makumbusho

Halafu mpuuzi mmoja anapita kifua wazi akinanga wenye Passo zao, tuwe na heshima na magari ya binafsi jamani. Pole kwa familia.
 
Hilo halina tofauti na kifo chochote Cha gafla Maana itakuwa alipata mshituko wa moyo au pressure au sukari ilikuwa juu sana Ni muhimu kupata elimu ya namna ya kufahamu miili yetu vizuri kuanzia mtu unapotoka nyumbani usichukulie POA kabisa ..sukari inau watu wengi Sana saiv

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kuwa mpinzani nchi hii Ni kupoteza muda,viongozi wa upinzani hawaelewiki,maana ni wabinafsi na wenye uchu wa madaraka.

Shituka mkuu !! Karibu CCM , nitafute PM nikupe kadi ya chama.View attachment 2079693
Siwezi kwenda kwenye chama ambacho kimetoa Rais wa nchi anaehamasisha ufisadi.Nitakuwa nina laana๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
al mawtu ya'tii baghtatan /Death comes untimely....
Mungu Ajaalie Kaburi lake liwe Viwanja Kati ya Viwanja vya Peponi.
 
Uyu jamaa sijui CCM imemfanyia Nini [emoji2]
Mkuu we huioni hii laana ya ccm kwa hii nchi..60 years tunajengewa vyoo kwa hisani..barabara za vumbi..elimu duni..tatizo la ajira..ufisadi na mafisadi yapo bungeni na serikalini yanachekelea tu..huduma mbovu mahospital..hakuna majinsafi na salama kwa wananchi..umeme shida..tozo kila kona..hakuna haki wala demokrasi..hakuna uhuru wa mihimili..kila taasisi imekua ccmlization..umasikini unaongezeka..wakulima hawana uhakika na soko.

Ni mengi hayo kwa uchache tu..kiufupi hii nchi inahitaji reformationa kubwa sana..ya uongozi..ebu jiulize kwanini mabadiliko ya katiba ccm hawataki.?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu mmoja amefariki dunia akiwa kwenye harakati za kugombea daladala alasiri hii ya leo.

Tayari polisi wamefika na jitihada zinafanyika za kuuupeleka mwili wa marehemu Mwananyamala Hospitali kwa uhifadhi na uchunguzi zaidi.

Marehemu hakuwa na kitu chochote cha kumtambulisha
Dah, maisha ya Dar hatari sana.
 
Jinsia?makadirio ya umri?

Hivi tatizo mabasi huwa hayatoshi au nini? Kwanini wasitoe leseni nyingi watu wamwage mabasi?

Tuliambiwa Mwendokasi ikikamilika shida ya usafiri Dar itakuwa historia,kasubiri sasa hio mwendokasi uone utakaa muda gani kuisubiri tu hio basi yenyewe
Mkataba wa serikal na mwendokas ambao wanalipia gharama za kutumie barabara ya mwendo kas na vituo vyake kwa siku ambayo ni kama 9m hiv...mkataba ulitaka daladala zipunguzwe ili mrad ufanye kaz
 
Kwahyo unataka kusema nin rais ndo kasababisha kifoo mfyuuuu
Kwa mara ya kwanza tokea nizaliwe nimemuona Rais wa nchi akihamasisha ufisadi kwa serikali yake katika TV ya Taifa๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Atakuwa yule MATAGA mwenye id CM...manambanamba mpaka asubuhi.Huwa anaandika kusifia huku amepiga magoti nadhani!
Kwa mara ya kwanza tokea nizaliwe nimemuona Rais wa nchi akihamasisha ufisadi kwa serikali yake katika TV ya Taifa!๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Anawaambia wajipimie๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Back
Top Bottom