jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Ccm ni laana kwa hii nchi.Jinsia?makadirio ya umri?
Hivi tatizo mabasi huwa hayatoshi au nini? Kwanini wasitoe leseni nyingi watu wamwage mabasi?
Tuliambiwa Mwendokasi ikikamilika shida ya usafiri Dar itakuwa historia,kasubiri sasa hio mwendokasi uone utakaa muda gani kuisubiri tu hio basi yenyewe
Tujifunze kitu hakuna mtu mwenye warranty na maisha haya popote kamba inakata,huyu marehemu alikuwa na mipango yake kichwani kama sisi,alikuwa anaiwazia familia yake na kuipenda kama sisi na anae mke au mzazi angetamani aendelee kuwepo but wakati umefika ameitika.Npoo hapa namshuudia akipakizwa kwenye defender
we jamaa kumbe na wewe unaishi Dar,najuaga unakaa MbeyaMtu mmoja amefariki dunia akiwa kwenye harakati za kugombea daladala alasiri hii ya leo.
Tayari polisi wamefika na jitihada zinafanyika za kuuupeleka mwili wa marehemu Mwananyamala Hospitali kwa uhifadhi na uchunguzi zaidi.
Marehemu hakuwa na kitu chochote cha kumtambulisha
Ni kweli ndugu yanguApumzike kwa Aman aseee so Sad!. Hapo kavuka barabara vizuri asigongwe halafu anafia mlangoni[emoji17]
Uhai wa mwanadamu ni fumbo, kikubwa tuupokee ukweli wa kwamba muda wowote unaweza kuondoka bila kujalisha U wapi na unafanya nini.
Inatakiwa muda wote utembee na ChupayamajiNa joto hili ni rahisi kupata Heart attack
Kama hulioni hilo ,Basi wewe Ni mpofu wa roho,Samia ni jembe kweli kweli.Halafu baadae utaona uzi wa MATAGA ukisema:"Samia aipaisha Tanzania katika maendeleo ya uchumi wa kati"[emoji16][emoji16][emoji16]
I concur with you!CCM ndio chanzo cha yote haya. Haiwezekani miaka 60 ya uhuru katika jiji kama Dar watu wanaishi kama barbarians kwa kugombania usafiri.
Very primitive.
Exactly!Apumzike kwa Aman aseee so Sad!. Hapo kavuka barabara vizuri asigongwe halafu anafia mlangoni[emoji17]
Uhai wa mwanadamu ni fumbo, kikubwa tuupokee ukweli wa kwamba muda wowote unaweza kuondoka bila kujalisha U wapi na unafanya nini.
Ndio hvyo mkuu wanguTujifunze kitu hakuna mtu mwenye warranty na maisha haya popote kamba inakata,huyu marehemu alikuwa na mipango yake kichwani kama sisi,alikuwa anaiwazia familia yake kama sisi anae mke au mzazi angetamani aendelee kuwepo but wakati umefika.
Apumzike kwa amani jamaa,inasikitisha sana.
Jembe kwenye kampeni za uchaguzi mkuu 2020👇
Wewe nae unaambiwa mtu amekufa unakuja na mipasho!
Mnalipwa kusifia ujinga
Mbowe au lissu ? Kwani hapa tunaongelea habari za wafu? Nyie wafuasi wa sukuma gang sijui chagga gang hamtapumua katika utawala huu.Wewe nae unaambiwa mtu amekufa unakuja na mipasho!
Ficha ujinga wako!
Na Mbowe au lissu?Mnalipwa kusifia ujinga
Uyu jamaa sijui CCM imemfanyia Nini [emoji2]
Wewe mimi ninachotaka kukwambia na ambacho waliokuzunguka wanaona aibu kukwambia ni kwamba “wewe akili huna”,that's it!!!Mbowe au lissu ? Kwani hapa tunaongelea habari za wafu? Nyie wafuasi wa sukuma gang sijui chagga gang hamtapumua katika utawala huu.