TANZIA Afariki dunia akigombea usafiri kituo cha daladala Makumbusho

TANZIA Afariki dunia akigombea usafiri kituo cha daladala Makumbusho

Mwanadamu yupo karibu na kifo kuliko hata ukaribu kati ya nyayo na kiatu chake........

Mwanadamu hapaswi kukiogopa kifo bali kujiandaa na maisha baada ya kifo.....
 
Kifo kipo tu, humuandama mtu wakati wote na humchukua pale kinapomuhitaji...
 
Ujue serikali yetu inapwaya.!

Nimeshaa hadi akina mama bush kwetu wanashangaa madudu ya mtawala mwanamke.
Serikali zote zinapwaya. Ni ngumu kuexcel katika kila sekta
 
Ni kwamba ameanguka akaumia, amejigonga kwenye Gari....
 
Halafu Eti Kuna watu kitoka Mataifa mengine wanakuja kujifunza Ubora wa DART!
AFRICA Kuna sehemu tunahitaji maombi!
Hii kitu hata mie nilibaki kinywa wazi, tena kama ni maombi basi yakufunga na kuomba.
 
kifo ni fumbo kubwa sana kuna mwingine kafariki akiwa anaimba kwaya kanisani
 
R.I.P
kuna wengine wanapata hela ya kula kupitia shida ya usafir jamaa anawahi kiti ukitaka kukaa anakwambia nipe buku ukae[emoji848][emoji848]
 
Hilo halina tofauti na kifo chochote Cha gafla Maana itakuwa alipata mshituko wa moyo au pressure au sukari ilikuwa juu sana Ni muhimu kupata elimu ya namna ya kufahamu miili yetu vizuri kuanzia mtu unapotoka nyumbani usichukulie POA kabisa ..sukari inau watu wengi Sana saiv

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Chanzo kugombea gari

Pale ukipita jioni usafiri huwa wa kishnz sana

Gari likija abiria wanaligombania,wengine wanaingilia dirishani yaani mwendo wa kukanyagana kusukumizana ili uingie ndani

Ova
 
Back
Top Bottom