TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,864
- 5,254
Angekuwa hajaoa angempeleka nyumbani.Bila shaka Chacha (45) alikua ameoa.
Mkewe sijui ana hali gani hukoAngekuwa hajaoa angempeleka nyumbani.
Achukue maiti ya mumewe azike, maana mchepuko kashajambishwa na polisi inatosha.Mkewe sijui ana hali gani huko
Watoto wanapata taarifa baba kafa guest na mchepuko.
Mamaaae unafanya watoto waishi maisha ya aibu kisengee.
Wala hata manzi halali kituoni , sasa mshikaji si kafa kwa shambulio la Moyo 😂 akifa natural unaandika tu maelezo basi kipengele wakute ana mkwaruzo wowote manina ukija kuchomoka huko Samia sio Rais tena😁😁 Hii ya mtu kufia gheto isikie kwa wenzako, isikupate moja kwa moja. Au kama ikikupata uwe na pesa ya kusukuma uchunguzi ufanyike haraka
Aidha, Mwili wa marehemu umefanyiwa uchunguzi wa kitabibu na kubainika kuwa, chanzo cha kifo kimetokana na shambulio la moyoJeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara aliyefariki dunia baada ya kudaiwa kupatwa na shambulio la moyo akiwa nyumba ya kulala wageni na mpenzi wake.
Jeshi hilo limesema Mei 12,2026 majira ya saahacha Ryoba aliongozana na mpenzi wake na kukodi chumba kimoja katika nyumba hiyo ya wageni kwa ajili ya kupumzika, wakiwa ndani ya chumba hicho, mpenzi wa Chacha alibaini mabadiliko ya ghafla kwa mwenzake, baada ya kuanza kuishiwa nguvu, hali iliyoambatana na kupumua kwa shida, licha ya jitihada za awali alizofanya, hali yake ilizidi kuwa mbaya na muda mfupi baadaye alifariki dunia.
Aidha, Mwili wa marehemu umefanyiwa uchunguzi wa kitabibu na kubainika kuwa, chanzo cha kifo kimetokana na shambulio la moyo.