King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
VIagra siyo nzuri kama una presha/sukari/matatizo ya moyo.Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara aliyefariki dunia baada ya kudaiwa kupatwa na shambulio la moyo akiwa nyumba ya kulala wageni na mpenzi wake.
Jeshi hilo limesema Mei 12,2026 majira ya saahacha Ryoba aliongozana na mpenzi wake na kukodi chumba kimoja katika nyumba hiyo ya wageni kwa ajili ya kupumzika, wakiwa ndani ya chumba hicho, mpenzi wa Chacha alibaini mabadiliko ya ghafla kwa mwenzake, baada ya kuanza kuishiwa nguvu, hali iliyoambatana na kupumua kwa shida, licha ya jitihada za awali alizofanya, hali yake ilizidi kuwa mbaya na muda mfupi baadaye alifariki dunia.
Aidha, Mwili wa marehemu umefanyiwa uchunguzi wa kitabibu na kubainika kuwa, chanzo cha kifo kimetokana na shambulio la moyo.
Kala viagraAlisimamia kwa ukucha π
K haikomoleki aise
Ova
Tena kunanhawa madokta waninsta na fb ndio hatari utasikia chnganya hiki, hiki na hiki nusu saa kabla ya mechi .Chacha alibugia viagra Ili akaicharaze nyapu ya baby girl, kumbe mjomba Israel nae alikuwa anatafuta sababu ya kupita nae π
π π€£
πTena kunanhawa madokta waninsta na fb ndio hatari utasikia chnganya hiki, hiki na hiki nusu saa kabla ya mechi .
Wadhibitiwe
Inasikitisha sana!Chacha alibugia viagra Ili akaicharaze nyapu ya baby girl, kumbe mjomba Israel nae alikuwa anatafuta sababu ya kupita nae
Hiyo si ni baada ya uchunguzi. Kipindi uchunguzi unafanyika unakuwa nyuma ya nondoWala hata manzi halali kituoni , sasa mshikaji si kafa kwa shambulio la Moyo π akifa natural unaandika tu maelezo basi kipengele wakute ana mkwaruzo wowote manina ukija kuchomoka huko Samia sio Rais tena
Familia yake na baadhi ya ndugu sijui watalia?Watoto wanapata taarifa baba kafa guest na mchepuko.
Mamaaae unafanya watoto waishi maisha ya aibu kisengee.
Scientifically jmaaJeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara aliyefariki dunia baada ya kudaiwa kupatwa na shambulio la moyo akiwa nyumba ya kulala wageni na mpenzi wake.
Jeshi hilo limesema Mei 12,2026 majira ya saahacha Ryoba aliongozana na mpenzi wake na kukodi chumba kimoja katika nyumba hiyo ya wageni kwa ajili ya kupumzika, wakiwa ndani ya chumba hicho, mpenzi wa Chacha alibaini mabadiliko ya ghafla kwa mwenzake, baada ya kuanza kuishiwa nguvu, hali iliyoambatana na kupumua kwa shida, licha ya jitihada za awali alizofanya, hali yake ilizidi kuwa mbaya na muda mfupi baadaye alifariki dunia.
Aidha, Mwili wa marehemu umefanyiwa uchunguzi wa kitabibu na kubainika kuwa, chanzo cha kifo kimetokana na shambulio la moyo.
Yes pure biological approval jamaa anawezakuwa alikuwa na shinikizo la damu so probably aliingia kukamia match, kitu ambacho kikamfanya abanwe na pumziii, lakini pia nature ya mwanamke aliedate nae kama ni type za wale ambao hupenda kumbana mwanaume especially once akiwa kwenye orgasm inaweza kuleta shida pia kama mwanaume ni weak in terms of pumziπJeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara aliyefariki dunia baada ya kudaiwa kupatwa na shambulio la moyo akiwa nyumba ya kulala wageni na mpenzi wake.
Jeshi hilo limesema Mei 12,2026 majira ya saahacha Ryoba aliongozana na mpenzi wake na kukodi chumba kimoja katika nyumba hiyo ya wageni kwa ajili ya kupumzika, wakiwa ndani ya chumba hicho, mpenzi wa Chacha alibaini mabadiliko ya ghafla kwa mwenzake, baada ya kuanza kuishiwa nguvu, hali iliyoambatana na kupumua kwa shida, licha ya jitihada za awali alizofanya, hali yake ilizidi kuwa mbaya na muda mfupi baadaye alifariki dunia.
Aidha, Mwili wa marehemu umefanyiwa uchunguzi wa kitabibu na kubainika kuwa, chanzo cha kifo kimetokana na shambulio la moyo.
Mwishowe Jamaa kadedi, utaalam mwingi mpaka wanaharibu πTena kunanhawa madokta waninsta na fb ndio hatari utasikia chnganya hiki, hiki na hiki nusu saa kabla ya mechi .
Wadhibitiwe
Alikuwa ameoa?Watoto wanapata taarifa baba kafa guest na mchepuko.
Mamaaae unafanya watoto waishi maisha ya aibu kisengee.
Mkuu serikali isopodhibiti madokta wa mtandaoni hasa wa nguvu za kiume tutegemee maafa zaidiMwishowe Jamaa kadedi, utaalam mwingi mpaka wanaharibu π
Wale mnaoleta(ga) vitisho vya kiwaki eti demu akikufia guest au geto njoeni mchukue notes.
Madaktari uchwara wa kiume hua wanapigia Msumari ukosefu wa nguvu za kiume zinasababishwa na nyeto mana wanajua wanaume wote wamefanya hvy, hakuna kingine wanajuaMkuu serikali isopodhibiti madokta wa mtandaoni hasa wa nguvu za kiume tutegemee maafa zaidi