AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji

Hebu katafuteni nukuu yoyote hata ya kichawa " Ruto awezesha Afcon kufanyika Kenya".
 
Bora wewe umeanzisha mada maana nilianzisha heading mods Kwa wivu wakaunganisha 😁😁

Wakionaga tuu neno Samia lazima waweweseke 🔥🔥

View: https://www.instagram.com/p/CxsvKhPoVET/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
jitu kama lukasimwashamba likipata uongozi ndio linaona kilamtu chiniyake mjinga.litajiona liposahihi kwakila kitu

jituhalijawahi kujana uzi wakulalamikia hudumambovu hatamoja Bali linasifia tuu.
Kwani wewe nani kakuzuia kuja na nyuzi hizo.nitakujaje kulalamika hapa wakati naziona juhudi za serikali yetu katika kukabiliana na changamoto mbalimbali.kwani kwa akili yako unafikiri kuna nchi hapa chini ya jua isiyo na changamoto? Hujasikia hata Marekani kwenyewe wafanyakazi wanafanya Maandamano kutaka waongezewe mishahara?
 
jitu kama lukasimwashamba likipata uongozi ndio linaona kilamtu chiniyake mjinga.litajiona liposahihi kwakila kitu

jituhalijawahi kujana uzi wakulalamikia hudumambovu hatamoja Bali linasifia tuu.
Mkuu, spacing kwenye keyboard yako haifanyi kazi??
 
Lucas tafuta hela aisee. Huu uchawa ni wa kipumbavu sana. Yaani wewe ni chawa mjinga na familia yako imepata hasara sana. Nawahurumia watoto wako wakija.kusoma huu utumbo wako siku moja
Acha wivu wewe hela unazo? 😂😂
 
Hapana ndugu yangu mimi sitafuti uenyekiti wa kijiji hapa na wala uenyekiti wa kijiji haupatikani hapa jukwaani na kama unataka huo uenyekiti basi nenda kagombee huko.

Unajifanya unajua kusifu sio bora hizo sifa ukamsifu mamako alokuzaa au upeleke hizo sifa kanisani kuliko kumpigia mbuzi gitaa ukidhani anaenjoy

huu ni upuuziii wa kiwango cha TBS
 
Kuna aina ya uchawa ni ujinga kbs!! Kwann hujaainisha amewezesha kvp? Ainisha jins alivyo play kuwezesha. NB: Ainisha kwa vitendo na kwa ushahid toka CAF na utuambie alitoa tamko kwa wapiga kura ili wachague East Africa?
 
Lucas tafuta hela aisee. Huu uchawa ni wa kipumbavu sana. Yaani wewe ni chawa mjinga na familia yako imepata hasara sana. Nawahurumia watoto wako wakija.kusoma huu utumbo wako siku moja
Mkuu kwani nani kwakwambia kuwa hela tunatafutia hapa jukwaani? Mimi natafuta pesa kupitia kilimo changu .sasa wewe bweteka ukifikiri jukwaa hili linatoa hela.
 
I can confirm , Lucas Mwasambwanda ni mnyamapori
 
 
Hii imenikumbusha kule kupatwa kwa jua kule Mbeya,tuliambiwa ni kwa hisani ya Magufuli.
 
Ipo cku inakuja hawa machawa wataanza kusifia Rais kwa kuwawezesha watanzania kupata pumzi ya kuishi!!
 
Bila shaka wewe ni wale wenye maombi mabaya kwa Taifa letu.Hata hivyo Giza halijawahi kuishinda Nuru.wewe ni Giza.
Mbona ni kijana unayeoneka kuwa na akili timamu na unamjua Mungu na Ukuu wake!!??
Inakuwaje kujitoa ufahamu kiasi hiki!!??

Nenda kasome mistari hii na uitafakari.

Yeremia 17:5
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.

Zaburi 1:1
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
 
Kuna aina ya uchawa ni ujinga kbs!! Kwann hujaainisha amewezesha kvp? Ainisha jins alivyo play kuwezesha. NB: Ainisha kwa vitendo na kwa ushahid toka CAF na utuambie alitoa tamko kwa wapiga kura ili wachague East Africa?
Serikali ya Tanzania imewezesha kwa kuwa imeonyesha mpango kazi wake wa namna ya kufanikisha michuano hiyo kwa kuweka miundombinu yote sawa na kuongeza mingine.ndio maana umeona mh Rais wetu kupitia Twitter ametoa maagizo ya ujenzi na ukamilishaji wa viwanja viwili vya kisasa ambapo kimoja kitakuwa Arusha na kingine Dodoma. lakini pia nafahamu unajuwa namna serikali ilivyowekeza mabilioni ya fedha katika kukarabati uwanja wa Benjamini mkapa ili uwe katika viwango bora kabisa vinavyohitajika. Lakini pia suala la usalama nalo pia serikali imehakikisha kuwa kunakuwepo na kuwahakikishia CAF suala hili wakati wote wa michuano hii. Na mengine mengi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…