Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Linahusiana na nini?
Kwa mila na desturi za mashariki (Oriental culture) kufuga ndevu ni moja ya ishara za "uanaume", wanawake hawana ndevu tofauti wanaume wanazo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linahusiana na nini?
Nchini Afghanistan, viongozi wa Taliban wamepiga marufuku wafanyakazi wa serikali ambao hawana ndevu kufika ofisini.
Taliban wanasema mfanyakazi yoyote wa serikali lazima awe na ndevu za kueleweka, hakuna kunyoa ndevu na wafanyakazi wote ambao hawana ndevu wamepewa muda kabla hawajafukuzwa kazi moja kwa moja.
Ni uchaguzi wako, ufuge ndevu ama ufukuzwe kazi😂
Kwenye uislamu ndevu muhimu kuliko proffessionNdevu zinaongeza competence kazini? Ama ndevu ndiyo competency yenyewe?!
Wakanunue mawigi ya ndevu kama mawigi wanayovaa wanawake vichwaniSasa kwa ambao hawana indevu takuaje
Naunga mkono hojaKama vipi wenye ndevu nyingi wapandishwe cheo.
Halafu mambo wanayoyafanya ni utashi wao binafsi tu,hata kwenye dini hayapoHawa jamaa ndio maana watu walikimbia nchi siku wanachukua uongozi.. kesho utasikia hamna kupika sambusa zina pembe kama shetani.
Wako SAHII,Hii mijamaa ni mipumbavu sana!Juzi tu imefunga Shule za wanawake!
Watahesabiwa Ni WANAWAKE [emoji4]Sasa kwa ambao hawana itakuaje
Mazingira yapi, fafanuadunia inabadilika , utamaduni wa ndevu sio asili ya yeyote yule ila ni mazingira ndo yaliwanya mababu wafuge ndevu na sio utamaduni
Basi na WANAWAKE wanyoe Maana nao wengi vichwani wananukakuna taratibu za kuondoa ushindani wa vitu nje ya kazi mf mavazi ya mauzo na ndio maana unaambiwa suruali ya kitambaa sio jeans ili kuepusha kuja na mavaz ambayo yatachukua attention ya watu na kupunguza efficiency ya kaz ila ndevu tunanyoa kwa sababu za usafi zaid wengi hawajui kuzitunza ndev , kuna mtu mpk zinanuka