Afghanistan: Talibani imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Marufuku mwanamke kuongea na mwanamke mwenzie

Afghanistan: Talibani imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Marufuku mwanamke kuongea na mwanamke mwenzie

Sasa Hawa ndio wanaume wenyewe hapa duniani. Walishajua kuwa mwanamke kamwe asipewe uhuru wee mkandamize tuu. Big up Taliban😍😍😍
Sio kila uhuru ni haki, kule magharibi walipoeka uhuru kwa mwaname anaweza kuolewa na mwaname mwenzake mukaja juu na kupinga, kwanini munapinga na ni uhuru???

Kuna mambo mwanamke anakatazwa lakini utakuta faida inarudi kwake mwenyewe yaani anapendelewa yeye mwenyewe
 
Hakuna
unavyozungumzia Sharia ya kiislam sio zile ambazo zimekuwa implemented na mwanadamu, Sharia za kiislam ametuletea mwenyewe muumba na zipo katika mafundisho ya Quran na Khadithi za Rasulu S.A.W,

Sasa ikiwa wako ambao wamezifahamu vibaya katika kutekeleza kwake si jukumu la Sharia hizo, Zipo nchi duniani wanatekeleza hizo sharia miaka nenda miaka rudi na lengo la hizo sharia sio kukandamiza ni kwa maana ile ile tu ya kumcha Mungu mola wa viumbe aliyetuleta hapa duniani.

Katika uislamu hakuna haja ya kwenda Beijing kupewa sheria mpya kila siku inapobidi, Sharia za kiislam zipo tu na hazibadiliki kwa mujibu wa kitabu chetu kitukufu na mafundisho ya Mtume S.A.W.

Kama hukufurahishwa jibu hili nakuomba sana kaa kimya usijibu matusi ama kukashifu.
Hakuna nilicho kashifu.......ila waislam wenyewe ndio mnaojitoa akili kusema wanawake wasisome,wasiongee na watu ambao sio wenza wao......hivi kama hajaolewa atakuwa anaongea na nani?? Wasiendeshe gari ,wasiende mjini peke yao .....hata kama ni kwenda kununua chupi au sidiria na pedi je unataka muongozane?? Ukweli utakuweka huru hiyo dini ni kisanga.........imemweka mwanamke kama kipande cha burudani na hana msaada wowote zaidi ya kukutoa nyege.........hivi hamuoni madaktari wanawake harafu unakuta eti mimi mke wangu anatibiwa na daktari wa kike sasa mkiwakataza kwenda shule huyo daktari atatoka kwa Allah? Viko vingi ambavyo vinatia kinyaa kwenye hiyo dini yenu ......harafu mnajitamba ndio dini iliyo kamilika ........labda kufugia majini
 
Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake.

Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya kiislamu hasa ya Mtume na Allah. Mwanamke aongee na mumewe tu.

Kumbuka hivi karibuni Talibani ilipiga marufuku saluni za kike na za kiume na kutangaza kwamba ni marufuku kwa mwananchi wa Afghanistan kunyoa nywele na ndevu kwani ni kinyume na mafundisho ya kiislamu. Pia Talibani ilipiga marufuku wanawake kupiga simu redioni ama mwanamke kuongea sauti yake ikasikika public.

View: https://x.com/HabibKhanT/status/1850241627530424578?s=19
Mtume Muhammad alifundisha uislam kuheshimu wanawake ndio mana aliwambia mama ana daraja tatu juu ya baba. Sa hawa Talibani hio sio dini ya kislam hao wanafata fake hadith za kimzulia Bukhari kasema 😄

Mtume Muhammad alikataza kuchunguza ya watu. Kuwashakia watu. Lini Mtume Muhammad alisema wanawake hawaruhusiwi kuongea wao kwa wao? Lini Mtume Muhammad alikataza wanawake wasionyeshe sura zao unless kuwa na reason.
 
Ni huyu huyu Muhamandi aliye mfananisha Mwanamke na Mbwa mweusi au ni Muhammadi mwingine ?

Sunan Ibn Majah 952
It was narrated from ‘Abdullah bin Samit from Abu Dharr, that the Prophet (ﷺ) said:
“The prayer is severed by a woman, a donkey, and a black dog, if there is not something like the handle of a saddle in front of a man.” I (‘Abdullah) said: “What is wrong with a black dog and not a red one?” He (Abu Dharr) said: ‘I asked the Messenger of Allah (ﷺ) the same question, and he said: “The black dog is a Shaitan (satan).”

Yaani hadhi ya FaizaFoxy, ni sawa na Mbwa mweusi.
Mbwa mweupe na wa rangi nyingine wana hadhi kubwa kupita FaizaFoxy,
Na yeye anakubali bila shaka kuwa kundi moja na Mbwa wausi.
 
Ni huyu huyu Muhamandi aliye mfananisha Mwanamke na Mbwa mweusi au ni Muhammadi mwingine ?

Sunan Ibn Majah 952
It was narrated from ‘Abdullah bin Samit from Abu Dharr, that the Prophet (ﷺ) said:
“The prayer is severed by a woman, a donkey, and a black dog, if there is not something like the handle of a saddle in front of a man.” I (‘Abdullah) said: “What is wrong with a black dog and not a red one?” He (Abu Dharr) said: ‘I asked the Messenger of Allah (ﷺ) the same question, and he said: “The black dog is a Shaitan (satan).”

Yaani hadhi ya FaizaFoxy, ni sawa na Mbwa mweusi.
Na yeye anakubali bila shaka kuwa kundi moja na Mbwa wausi.
Huyo labda wa mitaa yenu Mtume Muhammad aliwatukuza wanawake.
 
🐖ivi inamaana Afghanistan yote hakuna ngurue hata mmoja ?
Unaweza kupata kwa magendo kama madawa ya kulevya ambapo kilo ya nyama yake inaweza kufikia kiasi cha laki unusu kwa fedha za Tanzania
 
Hao talibani kuna mambo wanafanya ambayo sio katika sheria za kiislamu kabisa au kinyume na uislamu,kama mtu anauona uislamu kupitia talibani hakika hatapata uislamu sahihi,hao asilimia kubwa mambo yao kama wanaharakati

Uislamu haujakataza wanawake kuongea na wanawake wenzao na wala si sunna ya Mtume wala maagizo ya Allah. Wake za Mtume tu walikuwa wanaongea na wanaume nyuma ya pazia katika kuwaelekeza mambo fulani fulani ya dini,kama hiyo haikuruhusiwa je ilikuwaje wakeze wakafanya hivyo?

Kuhusu wanaume kunyoa nywele au ndefu wanaruhusiwa sana,ila si katika uislamu sijui kunyoa kiduku na stahili za ajabu ajabu,kama unaondoa nywele zote basi ondoa na kama unanyoa kawaida basi nyoa kwa heshima

Kuhusu kufuga ndevu hiyo ni sunna sio lazima kwa wanaume kufuga ndevu,ingawa ni bora kufuata sunna ya Mtume,binafsi nanyoa ndefu,sio agizo la lazima la dini

Kuhusu wanawake kwenda saluni,wanawake wanatakiwa kujipamba kwa ajili ya waume zao,wapendeze na wanoge,ila naona kuna namna labda hizo saluni zimeonekana ni sehemu ambazo kuna ajenda nyingine zinafanyika

Kuhusu wanawake kuongea kwenye redio au television,kwa mfano katika tv yapaswa mwanamke ajistiri anapokuwa hewani na si kuwa uchi kwa mujibu wa uislamu,kuhusu kuongea kwenye redio,hiyo hata huku Tanzania kuna redio moja Redio imani nayo kipindi fulani fulani walikataza lakini wakapewa hoja mbona wake za Mtume Muhammad (s.a.w) walikuwa wanaongea na wanaume nyuma ya pazia,kwahiyo hapo hoja nzito ilipatikana

Kwahiyo si kila linalo fanywa na hivi vikundi vyenye misimamo mikali ni uislamu bali mengine ni taratibu zao binafsi

Asante
Maelezo Yako shekh yanathibitisha pasina shaka talibani wako sahihi100%.

Ulichokifanya wewe ni kutupaka mafuta Kwa mgongo wa chupa.

Hoja uliyo ing'ang'ania kuwa wake wa mtume walikuwa wanaongea na wanaume kwenye pazia. Huoni hapo hawakuhitaji kabisa waonekane?

Kama ni sawa na kawaida kwanini kuwepo na mapazia Tena Wakati wa mazungumzo?

Kwahiyo wewe na Talibani yupi mwenye dini yake maana wao wanasema kile kilichoandikwa effectively............Talibani wako sawa kwa mujibu wa dini yenu.

Hata hapa tu marakadhaa nimesikia mawaidha yenu yakisema mwanaume kunyoa ndevu haitakiwi. Wengine wanaenda mbali zaidi na kuzipaka breach.
 
Weka andiko kama nilivyo weka mimi la huyo mtu kumtukuza mwanamke.
Katika Khutuba yake ya Mwisho Mtume Muhammad aliusia haya;

Enyi Watu, ni kweli kwamba mna hakika haki kwa wanawake wako, lakini pia wana haki juu yako. Kumbukeni kuwa mmewafanya wake zenu ila kwa amana ya Mwenyezi Mungu na kwa idhini yake. Wakishikamana na haki yako basi ni kwao haki ya kulishwa na kuvishwa wema. Watendeeni wema wanawake wenu na watendeeni wema kwa kuwa wao ni washirika wenu na wasaidizi waliojitolea. Na ni haki yako kwamba wasifanye urafiki na yeyote usiyemridhia, na vilevile wasiwe kahaba.

View: https://youtube.com/shorts/JSs41McoIxc?si=se3Td9ytVBGwlsaI

Angalia adabu za Muislam kwa mwanamke, nyie mnaheshimu wanawaje vile

View: https://youtube.com/shorts/_eX_lfgaIiI?si=vce1VJGEb2RES1vW
 
Maelezo Yako shekh yanathibitisha pasina shaka talibani wako sahihi100%.

Ulichokifanya wewe ni kutupaka mafuta Kwa mgongo wa chupa.

Hoja uliyo ing'ang'ania kuwa wake wa mtume walikuwa wanaongea na wanaume kwenye pazia. Huoni hapo hawakuhitaji kabisa waonekane?

Kama ni sawa na kawaida kwanini kuwepo na mapazia Tena Wakati wa mazungumzo?

Kwahiyo wewe na Talibani yupi mwenye dini yake maana wao wanasema kile kilichoandikwa effectively............Talibani wako sawa kwa mujibu wa dini yenu.

Hata hapa tu marakadhaa nimesikia mawaidha yenu yakisema mwanaume kunyoa ndevu haitakiwi. Wengine wanaenda mbali zaidi na kuzipaka breach.
Hapa nitakujibu yale ambayo sijajibu maana wajibu wangu ni kueleza ukweli kuhusu wewe unaamini au huamini sio tatizo langu ni lako

Kama nilivyosema hapo awali kwamba kuna mambo ya lazima [faradhi] na ambayo sio ya lazima [sunna] sasa kufuga ndevu ni sunna

Kuhusu kupaka breach ni sunna iwe ya rangi ambayo sio nyeusi,kwa maana nyingine si katika sunna kupaka piko iwe katika kichwa kama kina mvi au ndevu,haturuhusiwi kupata piko ili nywele ziwe nyeusi au hata ndevu ziwe nyeusi

Asante
 
Hapa nitakujibu yale ambayo sijajibu maana wajibu wangu ni kueleza ukweli kuhusu wewe unaamini au huamini sio tatizo langu ni lako

Kama nilivyosema hapo awali kwamba kuna mambo ya lazima [faradhi] na ambayo sio ya lazima [sunna] sasa kunyoa ndevu ni sunna

Kuhusu kupaka breach ni sunna iwe ya rangi ambayo sio nyeusi,kwa maana nyingine si katika sunna kupaka piko iwe katika kichwa kama kina mvi au ndevu,haturuhusiwi kupata piko ili nywele ziwe nyeusi au hata ndevu ziwe nyeusi

Asante
Hapo nimekuelewa kuwa Kuna Sunna na faradhi.copy
 
Back
Top Bottom