5523
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,275
- 2,410
Sio kila uhuru ni haki, kule magharibi walipoeka uhuru kwa mwaname anaweza kuolewa na mwaname mwenzake mukaja juu na kupinga, kwanini munapinga na ni uhuru???Sasa Hawa ndio wanaume wenyewe hapa duniani. Walishajua kuwa mwanamke kamwe asipewe uhuru wee mkandamize tuu. Big up Taliban😍😍😍
Kuna mambo mwanamke anakatazwa lakini utakuta faida inarudi kwake mwenyewe yaani anapendelewa yeye mwenyewe