Afghanistan: Vinyozi wapigwa marufuku kuwanyoa au kuwapunguza ndevu wanaume

Afghanistan: Vinyozi wapigwa marufuku kuwanyoa au kuwapunguza ndevu wanaume

Tukisema hii dini ni ya HOVYO mnatushambulia haya oneni sasa[emoji35][emoji35][emoji35]
 
Watu wanahamishiwa Magoli ili wasahau kuhoji imekuaje ma Drone yameshindwa kusambaratisha Waasi wavaaa makubazi
 
Mazombi katika ubora wao na dini yao....
 
Vuzi je? 😜

Wapiganaji wa Taliban wamepiga marufuku , vinyozi katika mkoa wa Helmand nchini humo kutowanyoa au kuwapunguza ndevu wanaume, wakisema hatua hiyo inakiuka sheria ya Kiislamu.

‘’Mtu yoyote anayekiuka sheria hiyo ataadhibiwa’’ , Askari wa Taliban wamesema. Baadhi ya vinyozi katika mji wa Kabul wamesema kwamba pia wao walipata maagizo kama hayo. Maagizo hayo yanasema kuhusu kurudishwa kwa sheria kali kama zile zilizokuwepo wakati kundi hilo lilipokuwa madarakani awali , licha ya ahadi ya kwamba litaanzisha serikali itakayokuwa na misimamo ya wastani.

Tangu ilipochukua madaraka mwezi uliopita, Talibani imewapatia adhabu kali wapinzani wake. Siku ya Jumamosi , wapiganaji wa kundi hilo, waliwapiga risasi na kuwaua watekaji wanne na miili yao kuzungunshwa katika barabara ya mkoa wa Herat.

Katika ilani iliochapishwa katika saluni, kusini mwa mkoa wa Helmand , maafisa wa Taliban walionya kwamba vinyozi lazima wafuate sheria ya Kiislamu katika kunyoa nywele za kichwani na ndevu. Hakuna hata mtu mmoja aliye na uwezo wa kulalamika, ilisema notisi ilioonekana na BBC.

"Wapiganaji hao wanaendelea kuja na kutuagiza kutonyoa ndevu’’, alisema kinyozi mmoja mjini Kabul’.
Mmoja wao aliniambia kwamba wanaweza kutuma maafisa kuchunguza ili kutukamata. " Kinyozi mwengine , ambaye anasimamia mojawapo ya saluni kubwa , alisema kwamba alipokea simu kutoka mtu aliyesema ni afisa wa serikali.

Walimtaka kutofuata mitindo ya Marekani na kutowanyoa watu ndevu zao. Wakati wa uongozi wa kwanza wa Taliban kuanzia 1996 hadi 2001, Kundi hilo lilipiga marufuku mitindo tofauti ya nywele na kusisitiza kwamba wanaume wafuge ndevu. Lakini tangu wakati huo, unyoaji wa ndevu na nywele fupi miongoni mwa wanaume wa Afghan umekuwa maarufu.
 
Tena huko wanakojifanya wanakimbilia baadaye wataleta shida na vipedo vyao

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujerumani waliwakaribisha ili wapate wafanyakazi wengi kwenye viwanda vyao, kwenye uchaguzi uliopita vile vyama ndugu vyenye majina yasiyohusiana na imani yao vimeanguka vibaya kwa kukosa kura za kuunda serikali. Kura wamepigia vyama ambavyo havijinasibu na imani isiyo yao, ina maana wanapata nguvu kuitawala ulaya ki ulaini kadiri miaka inavyokwenda wanafanya mageuzi kwenye mifumo ya kisiasa maana watakuwa ni raia halali wa mataifa waliyohamia na wanashiriki kwenye maamuzi ya kisiasa
 
Back
Top Bottom