Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Talibani ni kiboko na hawawezi kufutwa maana USA alitumia nguvu kubwa sana mpaka kaamua mwenyewe kuwaachia Nchi hao ni wahuni tu wansichafua dini ya kiislamu kutwa kuchinjana dini dani inaruhusu hayo mambo...