Afghanistan: Vinyozi wapigwa marufuku kuwanyoa au kuwapunguza ndevu wanaume

Jamaa wanakaza kweli nati wamefika hadi kwenye saloon
 
Kafir ni nini, tuanzie hapo kwanza kabla sijakutukania mama yako.
Swali zuri umeuliza kabla hujatukana mkuu "Maana ya 'kafiri' ni kila asiekuwa Muislamu. Kama kuna mtu anakereka na kukwazika kwa kuitwa kafiri, njia ya kuepukana na hilo awe Muislamu
 
Swali zuri umeuliza kabla hujatukana mkuu "Maana ya 'kafiri' ni kila asiekuwa Muislamu. Kama kuna mtu anakereka na kukwazika kwa kuitwa kafiri, njia ya kuepukana na hilo awe Muislamu
Kwa hiyo hukumu ya asiyekua muislam ni kuchinjwa?
 
Kwa hiyo hukumu ya asiyekua muislam ni kuchinjwa?

Hapana,, Qur'an haijatufundisha kufanya hivyo, na kama kuna aya inasema hivyo lete hapa!

الحمد الله: لَا إِكْرَاهَ فِي الدِّينِ ۖ قَدْ تَبَيَّنَ الرُّشْدُ مِنَ الْغَيِّ ۚ فَمَنْ يَكْفُرْ بِالطَّاغُوتِ وَيُؤْمِنْ بِاللَّهِ فَقَدِ اسْتَمْسَكَ بِالْعُرْوَةِ الْوُثْقَىٰ لَا انْفِصَامَ لَهَا ۗ وَاللَّهُ سَمِيعٌ عَلِيمٌ


Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet´ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.

الحمد الله: وَلَا تَقْتُلُوا النَّفْسَ الَّتِي حَرَّمَ اللَّهُ إِلَّا بِالْحَقِّ ۗ وَمَنْ قُتِلَ مَظْلُومًا فَقَدْ جَعَلْنَا لِوَلِيِّهِ سُلْطَانًا فَلَا يُسْرِفْ فِي الْقَتْلِ ۖ إِنَّهُ كَانَ مَنْصُورًا


Wala msiuwe nafsi ambayo Mwenyezi Mungu amekataza isipo kuwa kwa haki. Na aliye uliwa kwa kudhulumiwa basi tumempa madaraka mrithi wake. Lakini asipite mpaka katika kuuwa. Kwani yeye anasaidiwa.
 
Nchi gani iyo?
We usijifanye mwehu wewe, nahisi wewe ndiye yule mwarabu koko ambaye anaongozana na kale katoto kadogo ambako kana kanzu chafu, kazi yako ni kuwakabidhi wale mlioamua kuwachinja na kenyewe kanamalizia kukata upanga shingoni huko Congo. na mtakufa vifo vibaya sana paka nyie!!
 
Usafi ni moja ya Ibada
Wasipopunguza na kuuaachia yajiotee tu ni uchafu
Siamini hii habari
Sidhani kama wataliban hawajaangalia katika angle hiyo, navyojua walivyoweka kipaumbele kwenye miiko ya dini nadhani kuna fungu limetengwa kufadhili sabuni kwa vijana waepukane na uchafu
 
Uislamu so dini ya haki, mtu huna Uhuru hata wa kuamua juu ya ndevu zako mwenyewe
Wataliban wamewapa wananchi freewill ya kuchagua eidha wasinyoe wawe huru au wanyoe ndevu kisha waadhibiwe

Uchaguzi ni wao hakuna anayelazimishwa
 
Kama mzee mchonga alivyo waingiza chaka wazanzibar[emoji1787].aliaanza kwa mambo machachee ya muungano, baadae kilichofuataa ni ukolonii wa tanganyika kwa zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…