Afghanistan: Wanafunzi Wanawake wametenganishwa na wanaume kwa mapazia madarasani

Afghanistan: Wanafunzi Wanawake wametenganishwa na wanaume kwa mapazia madarasani

Hili ni jambo zuri,hasa kwa kuwa dada zetu siku hizi wanavaa mavazi yasiyo na staha na kutupa vishawishi wanaume..

Ipo makala moja ilitolewa gazetini ikisema uvaaji mbaya wa wanawake unachochea upungufu wa nguvu za kiume..
Huo ni uongo wa wazi kabisa, watupe uthibitisho wa kisayansi. Unategemea unavyoweka akili zako.

Kama wewe kutwa nzima unakaa kuwaza makalio ya akina dada ni lazima utapata tu shida. Mbona kwenye nchi nyingi wanawake wanavaa mavazi ya kuwabana lakini hakuna anayehangaishwa akili.

Tatizo linalowasumbua hao wenye fikra kama za Taliban ni kwamba hawataki kutilia maanani shughuli zao na badala yake wanapoteza focus kutizama mwanamke kavaaje, mbona yeye hakutizami umevaaje. It's nonsense.
 
Taleban bana, kuna mmoja alihojiwa kama baraza la Mawaziri wanawake watakuwepo, akasema labda Bungeni huko
Si unaona mfano wa mama kapewa nchi hii hatimae anaendeshwa na wasioitakia mema nchi mpaka kiongozi wa upinzani yuko ndani bila ya kesi, Katika Uislam mwanamke hawezi kuwa kiongozi kutokana na automatically anakua dhaifu
 
Hili ni jambo zuri,hasa kwa kuwa dada zetu siku hizi wanavaa mavazi yasiyo na staha na kutupa vishawishi wanaume..

Ipo makala moja ilitolewa gazetini ikisema uvaaji mbaya wa wanawake unachochea upungufu wa nguvu za kiume..
Mimi nikionaga mabaibui ndo nadindisha natamani hata kubaka
 
Sasa si Mungu angewaumbia mbali nchi ya wanawake na ya wanaume.

Ila kweli hizi dini ngoja tusubirie Kiama labda watalebani Mungu wao ndo alivyowaagiza.

Ndo haya mtu na dadaye wanakulana
Ukweli kwa maelekezo ya din talibani wako sahihi 100% kufuata maelekezo ya dini.

Dini nyingine sitaki kusema sana.
 
Back
Top Bottom