Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Kumbuka wanawake hawajawai kulimit chochote cha mwanaume.Hili ni jambo zuri,hasa kwa kuwa dada zetu siku hizi wanavaa mavazi yasiyo na staha na kutupa vishawishi wanaume..
Ipo makala moja ilitolewa gazetini ikisema uvaaji mbaya wa wanawake unachochea upungufu wa nguvu za kiume..
Usidhani wao hawawish kumlimit mwanaume.
FAIRNESS"" sisi sote hukosea mbele za Mungu lakini Mungu ameendelea kuwa FAIR hata tunapata muda wa kupitisha maamuzi kandamizi dhidi ya kiumbe binadamu aliyeumbwa na Mungu ambaye tunasema tunamuabudu.