Afghanistan: Wanafunzi Wanawake wametenganishwa na wanaume kwa mapazia madarasani

Afghanistan: Wanafunzi Wanawake wametenganishwa na wanaume kwa mapazia madarasani

Wanafunzi nchini Afghanistan wamerudi vyuoni na kupata mabadiliko chini ya utawala wa Taliban. Wanafunzi wanawake wametenganishwa na wanaume kwa mapazia au mbao madarasani.

Aidha wanawake wanapaswa kuondoka dakika tano kabla ya wale wa kiume ilikuzuia wasitangamane.

=========================

Universities in Kabul were almost empty on the first day of the Afghan school year, as professors and students wrestled with the Taliban’s restrictive new rules for the classroom.

The Taliban have promised a softer rule than during their first stint in power from 1996-2001, when women’s freedoms in Afghanistan were sharply curtailed and they were banned from higher education.

This time, the hardline Islamist group have said women will be allowed to go to private universities under the new regime, but they face tough restrictions on their clothing and movement.

Women can only attend class if they wear an abaya — a flowing robe — and a niqab — a face veil with a small window to see through — and are separated from men, the Taliban said.

View attachment 1927430
Hiyo mibaba mizee na mimama ndo wanafunzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wao wanatushangaa wakisikia mtu anakaa na mwanamme bila ndoa anazaa mpaka na wajukuu ndio anakuja kufunga ndoa wanatushangaa lakini ndio tamaduni zetu sijui zimetoka wapi maana zamani ilikuwa hakuna haya unaenda kuishi na mwanamme ukiwa kwenye ndoa tu leo wazazi wanajuwa kabisa mwanao kazaa, anaishi na mtu, hawajaowana na wako vizuri tu na sisi wanatushangaa sana huko. Kila jamii ina tamaduni zao inabidi ukubali kama inavyobidi watukubali tu. Tunazaa halafu tuna bariki......
 
Sasa si Mungu angewaumbia mbali nchi ya wanawake na ya wanaume.

Ila kweli hizi dini ngoja tusubirie Kiama labda watalebani Mungu wao ndo alivyowaagiza.

Ndo haya mtu na dadaye wanakulana
Ndio mana mashoga na kuliwa jicho hua hakuishi katika nchi hizo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wanafunzi nchini Afghanistan wamerudi vyuoni na kupata mabadiliko chini ya utawala wa Taliban. Wanafunzi wanawake wametenganishwa na wanaume kwa mapazia au mbao madarasani.

Aidha wanawake wanapaswa kuondoka dakika tano kabla ya wale wa kiume ilikuzuia wasitangamane.

=========================

Universities in Kabul were almost empty on the first day of the Afghan school year, as professors and students wrestled with the Taliban’s restrictive new rules for the classroom.

The Taliban have promised a softer rule than during their first stint in power from 1996-2001, when women’s freedoms in Afghanistan were sharply curtailed and they were banned from higher education.

This time, the hardline Islamist group have said women will be allowed to go to private universities under the new regime, but they face tough restrictions on their clothing and movement.

Women can only attend class if they wear an abaya — a flowing robe — and a niqab — a face veil with a small window to see through — and are separated from men, the Taliban said.

View attachment 1927430
Wameachwa ili kuudhihirishia dunia ijue wanakosea wap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa si Mungu angewaumbia mbali nchi ya wanawake na ya wanaume

Ila kweli hizi dini ngoja tusubirie Kiama labda watalebani Mungu wao ndo alivyowaagiza

Ndo haya mtu na dadaye wanakulana
Umesahau watoto wa kiume kugeuzwa, mademu wako mbali
 
Ndio maana watu walikuwa wanabanana wapande ndege kusepa,sasa discussion itafanyikaje?

Na mara nyingi mtu alie na videgree hususani hapa bongo and all africans huwa ni mijinga haswaa na pia hawana ustaarabu+kaushamba ushamba flani hivi!!!!

Walioweka hiyo sharia mutawaona wajinga na wakatili, alakini ndiyo wenye akili kubwa na wanajitambua kuliko wenye videgree uchwara hata kubrush kinywa hajui. Bongo bongo tu.

Dume zima linapinga,,,kumbe hata dada zenu muko radhi wajichanganye na minaume co!!!!!! At end of the day binti anapigwa mimba unaletewa kitoto nyumbani 😁😁😁 raha eti mzehe 😁
 
🤣 nchi nyengine zinatabu tupu sasa nini hiki.

Utaona ki2 cha ajabu sana,,, lakini wako sawa. Dada zenu mumeshazoea wajichanganye na wavulana darasani hata wakipigwa mimba kwenu sawa tuu. Sasa katika uisilamu hicho ki2 hakipo mzehe. Uisilamu ni nuru, uisilamu ni usafi, uisilamu ni upendo, uisilamu ni amani, kuwa muisilamu ni neema kubwa munoo.
 
Hivi mwanamke akiumwa karibu kufa na daktari ni mwanaume hataweza kumtibu...?,. huu ni upumbavu sana

Ndiyo maana nikasema afrika yote, hususani bongo mtu ana degree lakini bado hajaelimika na wala hajui dunia inakwendaje. Usome uisilamu upate kujua yaliyomo.
 
Wanahamasisha wawe mashoga nini

Shule/vyuo vya hapa afrika, hususani bongo students malaya ni wengi,, kwa mwaka unazani wanafunzi wangapi wanapigwa mimba??? Google ujionee wewe binti. Bado mumelala usingizi na kuendelea kusapoti ujinga.
Badirikeni.

Huko uyahudini na western countries wanajichanganya waume na wasichana, mbali na hilo ushoga unaendelea.

Nasapoti, naunga mkono kwa wataleban.
 
..Al-Shabab walipiga marufuku kuuza sambusa ktk mitaa ya Mogadishu kwasababu eti zinafanana na "k."🤣

..lakini hiyo picha kwa kuiangalia naona kama hao wanaoonekana hawafanani na wanafunzi.

..kwanza hawana mabegi au vitabu, wengi hawaandiki chochote, hawana muonekano unaofanana na mwanafunzi aliyeko chuoni.
 
Si unaona mfano wa mama kapewa nchi hii hatimae anaendeshwa na wasioitakia mema nchi mpaka kiongozi wa upinzani yuko ndani bila ya kesi, Katika Uislam mwanamke hawezi kuwa kiongozi kutokana na automatically anakua dhaifu
'
JamiiForums-453447607.jpg
 
Back
Top Bottom