Afisa Habari wa TFF: Sio kila jambo kuandikiana barua.

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
"Klabu ya Yanga wao wamefika hapa TFF wameleta barua na kuondoka na wamesema hawana chochote cha kuzungumza na sisi na hata Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao alipomuita CEO wa Yanga wazungumze alikataa, hizi ni taasisi kubwa na sio kila jambo tunapaswa kuandikiana barua kama tunatoa posa"- Cliford Ndimbo Afisa Habari wa TFF.

"Kama CEO wa Yanga SC hajui bingwa anapata nini kwanini wanasema wanadai kiasi hicho cha fedha wanachosema."

Maneno ya Cliford Ndimbo Afisa Habari wa TFF.
 
CRDB wametoa jumla ya milioni 250 kwa ajili ya mashindano ya msimu uliopita, halafu nyie mnadai mpewe milioni 200?

Yaani mashindano yanayoanzia ngazi za chini kabisa, kuna kulipa waamuzi na watendaji wengine wa mashindano, kuna kulipa wachezaji bora wa mechi na gharama zingine, zote hizo zitole kwenye milioni 50 halafu wewe uliyecheza mechi 5 sijui uchikichie milioni 200? Na hapo ukweli mnaujua ila mmeamua kupotosha umma.

Ukweli utawaweka huru wana utopolo.
 
CRDB wametoa jumla ya milioni 250 kwa ajili ya mashindano ya msimu uliopita, halafu nyie mnadai mpewe milioni 200?

Yaani mashindano yanayoanzia ngazi za nchini kabisa, kuna kulipa waamuzi na watendaji wengine wa mashindano, kuna kulipa wachezaji bora wa mechi na gharama zingine, zote hizo zitole kwenye milioni 50 halafu wewe uliyecheza mechi 5 sijui uchikichie milioni 200? Na hapo ukweli mnaujua ila mmeamua kupotosha umma.

Ukweli utawaweka huru wana utopolo.
Kwa akili yako hizo 250ml ndio zilitosha kuendesha michuano yote hiyo kuanzia nauli za timu mpaka zawadi za Ubingwa?
 
CRDB wametoa jumla ya milioni 250 kwa ajili ya mashindano ya msimu uliopita, halafu nyie mnadai mpewe milioni 200?

Yaani mashindano yanayoanzia ngazi za nchini kabisa, kuna kulipa waamuzi na watendaji wengine wa mashindano, kuna kulipa wachezaji bora wa mechi na gharama zingine, zote hizo zitole kwenye milioni 50 halafu wewe uliyecheza mechi 5 sijui uchikichie milioni 200? Na hapo ukweli mnaujua ila mmeamua kupotosha umma.

Ukweli utawaweka huru wana utopolo.
Yaani Mdhamini atoe 3+bl halafu kila mwaka zitoke 250ml kuendesha mashindano? Hivi hizi akili mnazitoa wapi Kolos
 
CRDB wametoa jumla ya milioni 250 kwa ajili ya mashindano ya msimu uliopita, halafu nyie mnadai mpewe milioni 200?

Yaani mashindano yanayoanzia ngazi za nchini kabisa, kuna kulipa waamuzi na watendaji wengine wa mashindano, kuna kulipa wachezaji bora wa mechi na gharama zingine, zote hizo zitole kwenye milioni 50 halafu wewe uliyecheza mechi 5 sijui uchikichie milioni 200? Na hapo ukweli mnaujua ila mmeamua kupotosha umma.

Ukweli utawaweka huru wana utopolo.
Itakuwa hujasoma "taarifa kwa umma" wala kufuatilia ufafanuzi wa hili jambo karibu kwa wahusika wote, bado Yanga kuna pesa anaidai tifutifu.
 
CRDB wametoa jumla ya milioni 250 kwa ajili ya mashindano ya msimu uliopita, halafu nyie mnadai mpewe milioni 200?

Yaani mashindano yanayoanzia ngazi za nchini kabisa, kuna kulipa waamuzi na watendaji wengine wa mashindano, kuna kulipa wachezaji bora wa mechi na gharama zingine, zote hizo zitole kwenye milioni 50 halafu wewe uliyecheza mechi 5 sijui uchikichie milioni 200? Na hapo ukweli mnaujua ila mmeamua kupotosha umma.

Ukweli utawaweka huru wana utopolo.
Yaani unaona mashindano yanaenda Kwa pesa ya mdhamini tu
Hujui Kuna vyanzo vingine vya mapato
Kama
Viingilio
TFF
Matangazo ya TV
Radio
Wadhamini wadogo n.k
Sio kila pesa inayoendesha mashindano inatoka Kwa main sponsor CRDB tu

Mtapata akili lini nyie mbumbumbu
 
Awa jamaa TFF ni wana njaa hatari, Wakati wa udhamini wa Azam federation cup (FA) Bingwa alikua akipewa 50 Million.
CRDB wakaja na udhamini mpya ambao ni zaidi ya million 200 Bado wako kimya hawasemi chochote ni kama vile dau la udhamini halijabadikika yaani TFF ukishinda Ubingwa yeye ndio akupangie malipo yaani ni upuuzi wa Viwango vya lami.

Nina uhakika timu nyingi zinafurahia jinsi Yanga wanavyo pambana.

Kuna fedha nyingi za udhamini vilabu vinakatwa juu kwa juu kwa Dhulma na havina ubavu wa kuongea.
 
Yanga walitakiwa wakae na TFF kuangalia ni wapi wametofautiana kwenye mahesabu.

Barua peke yake sidhani kama itajitosheleza kujibu maswali yote.
 
Back
Top Bottom